Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Sijaelewa.

Ktk ulimwengu wa roho silaha kubwa ni macho na katika hayo kuna Evil eyes .

Mtu Kama Joseph Mtambo , kazi inategemea kuonwa na macho ya watu wabaya na wazuri kwakuwa ni Kazi ya wazi so usitegemee bila kujilinda kiroho ukafanikiwa.

Na hapo ndo unapigwa ndumba unakuta bia mbili zinakutoa mchezo hata kushika maiki hauwezi.


Mwaka 2013 au 2014. Baada ya fid q kupewa tuzo


Fid q ilimtokea hii hali , hadi akufukuzwa na Kilimanjaro premium lager na kunyanyanganywa show zote kisa mitungi alikunywa mtungi ule wa kupata vibe Ila alipopewa maiki akashindwa kuperform

Alipohojiwa wasanii wenzake walimgeuka na kusema jamaa anatumia unga
 
Hii habari alipost OKW BOBAN SUNZU
 
Hiki ndicho nina kifanya na nita endelea kukifanya kwenye familia yetu
 
Yeye kwenye ubora wake alimsaidia nani?


Alishawahi hata kupeleka kiroba cha unga kwa watoto yatima?

Aende akale alipopeleka mboga.
 
Wasanii wengi wanaishia kubaya sana..!!
 
Jos mtambo anatia huruma Sana na kiukweli watu walio fikia stage ya Jos hawasaidiki..

Najua Jos mtambo unaweza kumchukua kumsaidia akashindwa ku cope

Leo ndio Leo tuone Jose akisaidika maana amesha lost.
Wasanii wanajiendekeza sana, wengine hata kujumuika na jamii hawataki kisa wanasema wanalinda brand.
 
Hastahili kupewa.

Wanaostahili msaada ni maskini wanaojituma ila wanakwama mahala iwe nyenzo au mtaji. Lakini sio huyo mnywa gongo..
Hakuna Binadamu special... Mnywa GONGO, chimpumu,chang'aa pia wanaitaji second chance..
 
anasema bongo kugumu lkn amekuwa mlevi wa kupindukia, ndio anataka kwenda Marekani ambapo pombe ni bei rahisi kuliko chakula....mwezi 2 tu tunarudishiwa mwili
Mtu akishafika stage hii ya ulevi mkwepe kama ukoma.

Wengi huwa na tamaa ya vitu vidogo vidogo ukijipindua kidogo wanakuibia hivyo kataa kabisa mazoea naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…