Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
- Thread starter
-
- #81
Tumsaidie mwanetu..Kama vipi intelligent bzz najua ni introduce kwa jamaa tumsaidie mwanetu sawa...nisha kuambia tutafutane kwenye simu, hii last time nakuambia
Halafu wanajifanya wakavu kama sio wao waliofanya tukio.We jamaa wewe..Mara nyingi watu waki fikia hatua ya Jos hugeuka SIKIO LA KUFA..
YAANI WANAIBAGA MPAKA VITU VYA NDANI UNGA NA KILA KITU HATARE
Ni kweli Ila anaitaji MSAADA... Maana hatumii heroine..Mtu akishafika stage hii ya ulevi mkwepe kama ukoma.
Wengi huwa na tamaa ya vitu vidogo vidogo ukijipindua kidogo wanakuibia hivyo kataa kabisa mazoea naye.
Msaada kama upi unafikiria apewe?Tumsaidie mwanetu..Kama vipi intelligent bzz najua ni introduce kwa jamaa tumsaidie mwanetu sawa...
Nachukia Sana mtu nae mfahamu kuharibikiwa kisa POMBE
Shida MENEMENE TEKERI NA PERESI niki mwambia ani tafute hafanyi hivyo, ana Anza harakati Kama za mzee wao ni wao.Tumsaidie mwanetu..Kama vipi intelligent bzz najua ni introduce kwa jamaa tumsaidie mwanetu sawa...
Nachukia Sana mtu nae mfahamu kuharibikiwa kisa POMBE
Pole mkuu..kujua tatizo ni mwanzo mzuri wa kulikabili..nta cheki na intelligent business then tuta arrange tuone tunafanyaje kitu kwa ajiri yako sawa..Mkuu Dr am 4 real PhD sikujui hunijui ila ikikupendeza pray for me iam your. Careermate and that is the way iam going to
Usilipe baya kwa zuri au baya kwa bayaa...wahenga husema TENDA WEMA NENDA ZAKOO..Msaada kama upi unafikiria apewe?
Je yeye ana historia yoyote ya kusaidia watu?
Kumbe unajua halafu unataka asaidiwe.Unajua mtu akifikia hiyo level anakua sikio la kufa labda mwenyezi Mungu angilie Kati maana yeye ndie hubadilisha kiumbe chochote kua kipyaa.
Nenda ukambadilishe.Ni kweli Ila anaitaji MSAADA... Maana hatumii heroine..
Anaweza kubadilika akiwa na dhamira za dhati .
Nenda ukambadilishe.Ni kweli Ila anaitaji MSAADA... Maana hatumii heroine..
Anaweza kubadilika akiwa na dhamira za dhati .
Hapana...pombe na ulevi ULIO pitilizaaKumbe Unga!
Ume elezea vyema Sanaa..upo sahihi Sanaa..jamaa atakua ni mzaliwa wa 70'sNilichojifunza kwenye maisha kila kitu kinaenda na umri na zama zake pia. Watu husema kua kufanikiwa hakuangalii umri lakini kwa maisha yetu ya kiafrica networks za kufanikiwa ni finyu sana, so kuna umri na zama zako zikipita ni ngumu sana kua yule tena. Mfano mzuri tu, Edo Kumwembe amedeclare kua alisoma nae, Edo yuko around 47 years which means hata Jos Mtambo atakua anachezea humo humo 45+. Kikubwa ni kumsaidia arudi kwenye hali yake ya kawaida ili awe kama watu wengine wa umri wake na afanye maisha mengine awe baba bora na baadae very soon babu bora. Sio rahisi kurudi kwenye level zile kwasababu zama zishapita that's why kina Professor J sasa hivi wanakomaa na siasa, afande Sele analima, Soggy katulia. Hiyo pekee inatosha kukuonesha maisha ni zama na zama zako zikipita huwezi kulazimisha, just fanya mambo mengine tu ili maisha yaendelee. Anyways, ushauri vijana tutumie vizuri umri na zama zetu. Nyakati za shule nenda shule, nyakati za chuo nenda chuo, wakati wa kua na familia Mungu akikujaalia kua nayo,...kuna muda ukifika huwezi tena kufanya mambo kwenye kiwango kile kwasababu zama zake zinakua zishapita
Kwaio mkuu hayakuhusu.Shauri yake
Bado juma nature amebakisha asilimia chache mno kufika zaidi ya huyu.Kitambo sana, jose alikuwa mtu wa pombe kali tena mpaka gongo.
Yupo katika hatua niliwaza kuwa atakuja kufikia, lakini sikuwa katika nafasi ya kuongea nad(kumsaidia).
Kwanini mkuu unasema ivyo. Tell something more.Hivi vitu viko spiritually zaidi
We jamaa..jela sio chuo..jela huwezi mpeleka mwanao..eti akajifunzee .☺️😊Kumbe unajua halafu unataka asaidiwe.
Msaada pekee huyo ni kuviziwa afanye tukio apelekwe jela akanyee debe.