Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,402
Unataka umuone kama ni mweupe?Wekeni picha yake nione kama anafaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka umuone kama ni mweupe?Wekeni picha yake nione kama anafaa...
Ni shombe la kiarabu umri utakua umeenda nakumbuka alikua ile Tume ya Ukimwi miaka ya 90s mwishoni au 2000s mwanzoni alimshtaki Mwenyekiti wa Tume Major General Mbogo kwamba alimdharirisha kijinsia bila kusema kivipiWekeni picha yake nione kama anafaa...
NAKAZIA HAPO.HAWATAWEZA!.Wapuuzi ni wengi sana nchi hii, lakini hawataweza kuturudisha nyuma katika mapambano dhidi ya UFEDHULI wa CCM.
Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia Chadema na Lisu.
Yaani siamini Chadema hii hii ya mtaa wa ufipa pale kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Wewe Kada wa Lumumba, ushaingia hofu kuwa CHADEMA wanaingia Ikulu mwisho wa mwezi huu?Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia Chadema na Lisu.
Yaani siamini Chadema hii hii ya mtaa wa ufipa pale kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Mwendesha mjadala nae niliona kama aligundua hili ni geresha akawa hajisumbui nae[emoji3][emoji3]Nimesikiliza huo mjadala, huyo Leila Sheikh hata kujieleza kwa ufasaha ni shida. Alikuwa ni kama kada wa ccm zaidi kuliko muandishi wa habari.
Kasema anawapigia chapuo wachaguliwe kwenye uchaguzi mkuu bila kujali vyama vyao.Vipi kuhusu ubaguzi na udhalilishaji wa wanawake unaofanywa na mgombea wa ccm! Hilo kalitolea maelezo? Kama hakulijadili, ni haki zipi za wanawake anazozitetea? Kwa maneno mengine Hana haki ya kujitanabaisha na kujitambulisha Kama mtetezi wa wanawake wenzake na naomba wanawake mpuuzeni na kumdharau huyu mchumia tumbo!
Anafaa kwa matumizi gani mkuu Nyani Ngabu ? Kuna vitu vingine hata kuvifanya mbolea havifai.Wekeni picha yake nione kama anafaa...
Marekani ni taifa lenye mifumo thabiti haliwezi kuyumbishwa na Trump , wakiamua wanamondoa mapema and no one can deny.Marekani watuache kwanza ..wao ni nani wapambane na Trump wao
Siyo kila mzungu ni beberu, mabeberu ni wale wanaofisadi Mali zetu wakishirikiana na Lissu.Mabeberu wanatujengea barabara hapo vipi.
Hawajui kujaza fomu!..Leila Sheikh ana mtizamo gani kuhusu wagombea wa upinzani ambao mpaka leo hii bado hawajaruhusiwa na wasimamizi kuanza kampeni?
..Masuala kama haya ilipaswa yakemewe na kila anayeitakia mema nchi yetu. Haiwezekani tufanye uchaguzi halafu baadhi ya wagombea wanapata nafasi kufanya kampeni kwa miezi miwili, na wengine wanapewa nafasi kufanya kampeni kwa wiki 2.