Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Vipi kuhusu ubaguzi na udhalilishaji wa wanawake unaofanywa na mgombea wa CCM! Hilo kalitolea maelezo? Kama hakulijadili, ni haki zipi za wanawake anazozitetea? Kwa maneno mengine Hana haki ya kujitanabaisha na kujitambulisha Kama mtetezi wa wanawake wenzake na naomba wanawake mpuuzeni na kumdharau huyu mchumia tumbo!
 
Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia CHADEMA na Lisu.

Yaani siamini CHADEMA hii hii ya mtaa wa ufipa pale Kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
 
Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia Chadema na Lisu.

Yaani siamini Chadema hii hii ya mtaa wa ufipa pale kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Wewe Kada wa Lumumba, ushaingia hofu kuwa CHADEMA wanaingia Ikulu mwisho wa mwezi huu?

Jiandaeni kisaikolojia kukabidhi madaraka, hakuna namna..................
 
Kama siyo kazabinazabina cha wamarekani huo uandishi wa habari wala hizo haki za wanawake anazozitetea asingizijua.

Kuna uwezekano nati zake zimelegea.
 
Nimesikiliza huo mjadala, huyo Leila Sheikh hata kujieleza kwa ufasaha ni shida. Alikuwa ni kama kada wa ccm zaidi kuliko muandishi wa habari.
Mwendesha mjadala nae niliona kama aligundua hili ni geresha akawa hajisumbui nae[emoji3][emoji3]
Maswali alokuwa anaulizwa sio anayoyajibu....anachanganya mambo.....anajikanyaga kanyaga kutetea hata ambavyo ni vigumu kutetewa.
Daaaah yaani nmeshangaa mno
 
Kasema anawapigia chapuo wachaguliwe kwenye uchaguzi mkuu bila kujali vyama vyao.
Kiujumla alikuwa anaruka ruka tu..hata haelewi alichokuwa anajadili
 
Hawajui kujaza fomu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…