Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Ila nikujulishe kuwa Marekani hakuna the so called POPULAR VOTE AU PEOPLES' VOTE! Wizi wa kura ni kama kazi kiasi ambacho hata wababe wenzao wanawaingilia, unakumbuka wizi wa kura enzi za Bush Jr au hata juzi za Mama Clinton? Hawa nao ni watu usiwaone kama malaika.
 
Kweli hamuwezi uchambuzi wa mijadala mipana kwenye vyombo vya habari.

Nami pia nimemsikiliza kwa umakini ni kada wa CCM kindaki ndaki ijapo anajifanya haegemei upande wowote ila maneno yake yameonesha wazi wazi.
 
Ni shombe la kiarabu umri utakua umeenda nakumbuka alikua ile Tume ya Ukimwi miaka ya 90s mwishoni au 2000s mwanzoni alimshtaki Mwenyekiti wa Tume Major General Mbogo kwamba alimdharirisha kijinsia bila kusema kivipi
Unakumbuka vizuri!
 
Usisahau TACAIDS
 
Unakumbuka vizuri!
Utamani ushombe Madam T?
Labda wa kununua kwenye krimu na Brazilian weaves πŸ˜….
Mie chotara kweli.
Mweupeeee...
Manywele nayakalia.
Sasa wewe mwenzangu kinyonyoke?
Tena huyo dayuzz kakosea.
Mie Mbondei na Mjeremani.
Capice?
 
Utabaki kusema ovyo.
Mwanaume hapendezi kuwa muongo tena na wivu wa Mafanikio ya wenzake.
Huna sera wala dira.
Utaishia kurusha uongo nyuma ya jina bandia.
Mimi,
Leila Sheikh
Mwanahabari mwandamizi
Huna mafanikio wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…