Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok Lemaaa!
Hadi wanapanga kwenye nyumba ya kulala wegeni kama ofisi za chamaIla kwan Chadema wanakwama nin kujenga offc yao...
Lema si urudi uje kunga Chaggadema yenu ?
Mbona mnatuma hizi animated images? Real picture iko wapi?
Hawana ofisi,sawa.Ndiyo mpambane nao fairly tuone mnavyojinyea barabarani.Anajitetea ujinga. Chama kikuu Cha upinzani Haina ofisi na bado wanataka kuchukua nchi. Ofisi hiyo hiyo anakaa katibu na mwenyekiti na msaidiz wake. Mwenyekiti taifa Hana ofisi binafsi 😡
We nae hamna kitu kichwaniJoini ze cheni🔗⛓️