Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

Kwani chadema wanafanya shughuli zao chini ya mti?nini maana ya ofisi
 
Kazi iendelee.....wajipange watafute eneo wajenge ofisi zao
 
Anajitetea ujinga. Chama kikuu Cha upinzani Haina ofisi na bado wanataka kuchukua nchi. Ofisi hiyo hiyo anakaa katibu na mwenyekiti na msaidiz wake. Mwenyekiti taifa Hana ofisi binafsi 😡
 
Nadhani Chama kikiwa kwenye myoyo ya watu ndiyo bottom line haya majengo ni kitu minor sana, you can have buildings even tomorrow but not royal [emoji146] members.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…