Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

Lengo kuu la chama Cha siasa ni kuchukua madaraka ya nchi .
Zingine mbwembwe tu.
Na chama chenye idadi kubwa ya wanachama kinamafanikio zaidi haijalishi kina miundombinu ya aina gani.
 
Chadema ni matapeli fulani hivi , Jiuluze chama kinakuaje na ofisi Gest House Kinondoni?

Aibu sana hawa ndg zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…