Lema aelimisha wananchi sababu ya mwarabu kanunua bandari

Lema aelimisha wananchi sababu ya mwarabu kanunua bandari

Lema anaongea sense sana. Wengi kwenye suala la DP WORLD wanamuangalia Samia kama Mzanzibari na Mwislamu wala hawapimi quality ya decisions zake.
 
Sina hakika kama Lema aliwahi kupinga uwekezaji bandari, yeye na wadau wengine walipinga Mkataba ulivyo!
Usipomwelewa unaweza kudhani amefinywa na wale na wale jamaa ili atetee mkataba.
 
Vingi sana maendeleo ikiwepo pesa ,ujenzi ,kuwa billionea ila hakuna mtu ambaye alikuwa au ni tajiri ambaye hapendi sex na pombe, na muziki labda wewe tu .maana unakitambi kikubwa 😝😝😝😝😝
Kitambi Sina, Mimi sio mzeee kama ww
 
Back
Top Bottom