Lema aelimisha wananchi sababu ya mwarabu kanunua bandari

Lema aelimisha wananchi sababu ya mwarabu kanunua bandari

Fasihi ni kitu chema sana

Jana imepigwa fasihi na wazee wa kuokoteza wamebaki na kauli

Walio na D mbili wachache sana wanaweza kumuelewa

Mwingine alisema yeye jiwe…. Wenye D mbili wakastruggle Sana

Wa mwanzo alijiita Musa naye alieleweka kwa shida sana

Allah aendelee kuobariki fasihi… na mambo yake yote

Yah right. Watakuwa akina Nape hao .....!!


Lakini hata Mtoa FASIHI alitoka na hizo D mbili ... ndiyo maana akaanzia UKATIBU MASIJALA!!
 
Yah right. Watakuwa akina Nape hao .....!!


Lakini hata Mtoa FASIHI alitoka na hizo D mbili ... ndiyo maana akaanzia UKATIBU MASIJALA!!
Na ndio raha ya fasihi

Na kamwe uwezo na busara husimama kwa aliyepewa karama za kuwa fanani
 
Sina hakika kama Lema aliwahi kupinga uwekezaji bandari, yeye na wadau wengine walipinga Mkataba ulivyo!
Usipomwelewa unaweza kudhani amefinywa na wale na wale jamaa ili atetee mkataba.
Lema ana Akili nzuri ,
Nasema hivi kwa sababu Lema anajaribu kuwajulisha mazuzu mengi ambayo hata humu jf wanaonyesha chuki za kidini bila kujua kuwa hizo ndio mbinu kuu za CCM za kuwagawa watu ili wasiwe wamoja kwenye sanduku la Kura !

Watu wakimwelewa Lema na points zake zote alizozieleza na wakazizingatia basi ujue CCM kazi wanayo kwenye Uchaguzi 😳
Wameishiwa mbinu , wamebakiza ni matusi na mbinu za kuwatawanya watu kwa misingi ya dini ukanda na wizi wa kura .
 
Back
Top Bottom