Slobodan Mirosovich
Member
- Jan 9, 2026
- 40
- 196
ok.🐒Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam
Mambo madogo yasiwagaweAkijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam
Mrembo wa mbulu vijijini hujambo?ok.🐒
Dah! Aisee Toka Jana Leo ndo nimecheka nimefurahi😁😃Nabii na Maalim Mbowe wazee wa kuokota.
Ila sisi CCM tunahangaika sana na Heche!! Kwa hiyo sasa hivi tunataka tuhamie kwenye hati za kusafiria kwani yale tuliyokuwa tunayapigia kelele kuhusu tonetone tumeishia wapi?Kama kweli Heche alishughulikiwa hati yake na usalama wa taifa, basi Heche ndio wakumtilia shaka.
Anatakiwa Heche personally aje kujibu tuhuma dhidi yake, sio ajibiwe na wafuasi mitandaoni.
Hata kama kuwa na urafiki na watu serikalini sio kosa, lakini urafiki wao usivuke mipaka.
Kumchukia Lema kwa sababu anasema anachokiamini ni ujinga, Heche sio bubu au kiziwi, anajua kusoma na kuandika.
Asitumie kivuli cha kupigiwa kelele na wafuasi mitandaoni kujifichia humo, ajitokeze ajibu tuhuma dhidi yake.
Hizi negativities zinazoendelea ndani ya Chadema ni wazi watu hawaaminiani mule ndani, kuna urafiki wa mashaka kati yao.
CCM wewe na nani?Ila sisi CCM tunahangaika sana na Heche!! Kwa hiyo sasa hivi tunataka tuhamie kwenye hati za kusafiria kwani yale tuliyokuwa tunayapigia kelele kuhusu tonetone tumeishia wapi?
Wewe ndio umuamini ila Lisu anamuamini na ndio maana alikuwa wakala wa kuhesabu kura za Lisu alipombwaga Mbowe.Binafsi Lema huwa simuamini kitambo sana! Anyway itakuwa ni chuki zangu tuu, binafsi. 😊
Wenye akili kubwa tumemuelewa Lema kafunga mjadala.Lema kaguswa kidogo na mtu hata kadi haijulikani kama anayo then anakimbilia kushambulia Makamu direct!
Huwezi kuwa kiongozi alafu kwenye public una react kijinga namna hii. Hiyo tweet umefanya niamini yanayosemwa juu yake. Heche ni mkomavu sana
Ok tueleze kuna shida gani kwa Lema kupewa passport yake?Uchonganishi tu
Kwani Heche passport yake kushughulikiwa na DIGS kuna shida gani, DIGS ni public servant huenda alipewa maelekezo na Ikulu kuwa ya Heche inatakiwa kushughulikiwa na ngazi za juu na ukute Heche na DIGS hawajawahi kukutana ila vijana wa DIGS ndo waliyoshughulikia.
DGIS ana monitor issue zote sio za CCM, CHADEMA, ACT ,wala nani ?