Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam