Kuwa au kutokuwa mfuasi wa Mbowe sio tatizo.Lema ni mfuasi mtiifu wa Mbowe, huko kwa lisu amejichomeka tu baada ya kuona lisu anaungwa mkono na wengi
Kila mtu ana uhuru wa kuwa ally wa mwanasiasa yeyote.
Kuwa au kutokuwa mfuasi wa Mbowe sio tatizo.Lema ni mfuasi mtiifu wa Mbowe, huko kwa lisu amejichomeka tu baada ya kuona lisu anaungwa mkono na wengi
Kwenye kikao cha kamati kuu kigoma Lema alimuomba Heche atoke nje ili wajadili kuhusu michango ya tone tone aliyokwapua. Heche akakataa, sasa hapo nani kavunja taratibu za chama?Inabidi tu nikujibu pamoja na kwamba haikusaidii chochote.
Lema hajui taratibu za chama kuhusu hayo?
Kikao hicho kilikuwa na ajenda hiyo, au vikao ni horera tu, kila mwenye jambo anajisemea wakati wowote?Kwenye kikao cha kamati kuu kigoma Lema alimuomba Heche atoke nje ili wajadili kuhusu michango ya tone tone aliyokwapua. Heche akakataa, sasa hapo nani kavunja taratibu za chama?
Nimeona kama vile Leo Maria Sarungi kadokeza kuwa upande wa kijani wamempatia kikokotoo chake.Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam
Maria Sarungi yeye nani? Ni ujinga sana mtu na akili zako eti Da Mange kasema au Maria kasema, wewe huna akili?;Nimeona kama vile Leo Maria Sarungi kadokeza kuwa upande wa kijani wamempatia kikokotoo chake.
Kwa hiyo,amekubali kufanya nao kazi.
Kwa sasa anajutia makosa yake, chama kimeporwa na wakuja mnyaturu na mkurya ni wakati sahihi sasa chama kirudi nyumbani.Kitendo cha Lema kumpinga Mchaga wa Machame mwenzake tayari alishachora mstari wa uadilifu wake.