Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Kwa nini Lisu alimteuwa Lema kuwa Wakala wake kuhesabu kura? Unajuwa uchaguzi wewe au una mavi haujachamba yanakutowa akili?Lema ni mfuasi mtiifu wa Mbowe, huko kwa lisu amejichomeka tu baada ya kuona lisu anaungwa mkono na wengi
Wagombea wengi kura huwa wanaenda kuhesabu wenyewe hawamuamini mtu, uadilifu wa Lema haya ndio malipo yake?