Lema ni business man.Binafsi Lema huwa simuamini kitambo sana! Anyway itakuwa ni chuki zangu tuu binafsi. 😊
Lema ni business man.Binafsi Lema huwa simuamini kitambo sana! Anyway itakuwa ni chuki zangu tuu binafsi. 😊
Ila mbona hata amani gogulwa hakuteswa na mafwele kwasababu amekiri wanajuana toka huko kwao je nae atiliwe shaka?CCM wewe na nani?
Natumia brain kujadili jambo mezani, wewe na brain yako ya ubashiri nenda ka bet.
Umejiuliza kama Heche anafahamiana na DGwa TISS, kwanini asingemwambia DG ampe na Lema passport yake?
Ninekuwa nafatilia ushahidi wa mahakamani upande wa DW,
Brenda nae nikimsikia alisema toka akamatwe Namanga akitaka kutoka nje ya nchi alichukuliwa passport yake, na haijarudishwa mpaka leo, if so, kwanini Heche asimfanyie npango aipate?
Haya mambo yanahitahi upeo kuyajadili, sio kuishia kupiga ramli kama mganga wa kienyeji!.
Na amani gogulwa nae aliposhikwa wakampeleka kwa mafwele hakumtesa kwasababu wanajuana tangu kitaa je vipi nae Amani gogulwa tumtilie shaka?CCM wewe na nani?
Natumia brain kujadili jambo mezani, wewe na brain yako ya ubashiri nenda ka bet.
Umejiuliza kama Heche anafahamiana na DGwa TISS, kwanini asingemwambia DG ampe na Lema passport yake?
Ninekuwa nafatilia ushahidi wa mahakamani upande wa DW,
Brenda nae nikimsikia alisema toka akamatwe Namanga akitaka kutoka nje ya nchi alichukuliwa passport yake, na haijarudishwa mpaka leo, if so, kwanini Heche asimfanyie npango aipate?
Haya mambo yanahitahi upeo kuyajadili, sio kuishia kupiga ramli kama mganga wa kienyeji!.
Sasa hii ni habari gani ya kipuuzi hivi? Hapa uzi tayari au utakuja kuweka nyama baadaye mkuu?Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam
So, unamaanisha na Heche nae anajuana na DG wa TISS toka huko kwao?!Ila mbona hata amani gogulwa hakuteswa na mafwele kwasababu amekiri wanajuana toka huko kwao je nae atiliwe shaka?
Kuna tatizo linalomsumbua Lema, hii si bure.Lemma katika hili amekosea big time, hakutakiwa kumjibu mpuuzi kama Sativa, angempotezea tu ona sasa jibu lake lilivyoleta taharuki kwani watesi wamelitafsiri kwa maslahi yao.
there's something fishy going on with Lema.Lema ameibuka na jambo la passport from nowhere akimtuhumu mtu ambaye hakuwepo katika wanao mshambulia.
Zaidi kuonyesha amejiandaa akapandisha nyaraka juu ya namna yeye alivyoipata passport yake kama ushahidi, halafu akamtuhumu Heche bila ya ushahidi. Ni jukumu la Lema kuthibitisha tuhuma zake juu ya Heche.
Ilivyosemwa kuwa kuna kikundi ndani ya CHADEMA kinajipanga dhidi ya Makamu Mwenyekiti, sasa imeanza kujidhihirisha.
Mwenendo wa Lema una mashaka mengi sana siku za hivi karibuni, na imekua rahisi sana kumstukia sababu unafiki siyo maisha yake, hivyo amekuwa kama mlevi au mvuta bhangi mpya, lazima tu atastukiwa. Lema ndiyo Mwanasiada pekee ndani ya CHADEMA ambaye amekuwa huru sana kwenda na kurudi Canada atakavyo, ndiye pekee ndani ya CHADEMA ambaye anaibexpose na kuitangaza familia yake mitandaoni walipokuwa nchini, kinyume kabisa ma hali iliyopo ya wapinzani kuwindwa. Hata mke wa Tundu Lissu ameshindwa kuingia Tanzania kumtembelea mume wake sababu ya hofu za kiusalama, but Lema anajiachia atakavyo.
Susla la kuipata passport yake kupitia Wakili wa Chama thats not an issue, sababu wote tunajua, wakiamua hauipati hata uende na nani. Brenda Rupia ya kwake hadi leo hajaipata wala Amani Golugwa pia assport yake hajaipata na Mawakili wa Chama wapo.
Hata zile milioni 310 wakizolipishwa kipindi kile wanafungwa wakati wa Magufuli hawakuwahi kurudishiwa na Mawakili wa Chama wapo.
Ile habari unaweza kweli kusema ilihusu "kugusia"; au kuna maandishi mengine ambayo wengine hatuyaoni?Huelewi concept. Wamekuwa wakizungumzia passport ndio Lema akagusia ya Heche, hajakosea popote.
Huyo Sativa nani anataka kujua habari zake..
Alikuwa huruthere's something fishy going on with Lema.
Wakati ule kuelekea kwenye uchaguzi Oktoba, aliomba awekwe jela.
Hivi na yeye alikuwa jela wakati huo kama ilivyokuwa kwa Heche?
Kina Sativa na Hilda ni chawa wa Heche, kila mara humshambulia Lema kwa tuhuma tofauti wasizo na uhakika nazo.Ile habari unaweza kweli kusema ilihusu "kugusia"; au kuna maandishi mengine ambayo wengine hatuyaoni?
Lema ndio mwakilishi wa wachaga?hao jamaa wameanza na waislamu, wazanzibari, watu wa pwani sasa naona wanaenda na wachaga
Yaani Lemma kaingia kwenye mtego wa chizi Sativa kibwege sana, angempotezea Sativa angepungukiwa nini kwani credibility ya Sativa inaeleweka.Ile habari unaweza kweli kusema ilihusu "kugusia"; au kuna maandishi mengine ambayo wengine hatuyaoni?
Hapa huoni tatizo seriously huoni tatizo? Basi sawa.Heche ilipatikana kwa msaada wa DG wa TISS huoni kuna tatizo hapo?
Mbowe ni dalali na tulishamalizana naye siku nyingi. Peleka mapenzi yako huko mlikokutana.Hivi ingejulikana kuwa Mbowe amesaidiwa na mtu wa serikali kupata passport ingekuwaje?
Sidhani kuna lolote baya alilofanya Heche lakini ni mbinu hizi hizi za insinuations bila ushahidi ndio wanatumia dhidi ya Mbowe. Mkuki kwa nguruwee...na what goes around comes around.
Amandla...