Wewe ndio umuamini ila Lisu anamuamini na ndio maana alikuwa wakala wa kuhesabu kura za Lisu alipombwaga Mbowe.
Kuna watu mna macho lakini hamuoni Mungu amewanyima maono.
Kitendo cha Lema kumpinga Mchaga wa Machame mwenzake tayari alishachora mstari wa uadilifu wake.
Kuna sehemu yoyote Lema amekuomba umuamini?Umeongea mambo mengi. Vyovyote iwavyo, Lema sijawahi muamini. 😊
Kwanini iwe tatizo kwa Lema kurudishiwa passport yake ambayo ni haki yake?Huu ni ujinga mwingine wa kumvuruga Heche. Hivi kwa hoja anazotema Heche na attacks zake kwa serikali unaweza kumtilia mashaka? Kwa nini suala ya yeye kusaidiwa pass na DG tusione kama kwenda front kupambania haki yake ya kusafiri?
Nashangaa kweliYani unapata wapi muda kuwajibu watu vichaa kama huyo Sativa?
Heche asiingie kwenye mtego huu, huwezi kuishi Tanzania bila kushirikiana na serikali hata Chadema kama chama kinahitaji pesa za serikali kwa jina la ruzuku.
Hivi viwanaharakati uchwara mkiendelea kuviendekeza vitawapeleka pabaya.
Tumuulize huyo SativaOk tueleze kuna shida gani kwa Lema kupewa passport yake?
Mimi sijasema yeye kurudishiwa kadi ni tatizoKwanini iwe tatizo kwa Lema kurudishiwa passport yake ambayo ni haki yake?
Lema ameingia maji ya kina kirefuWenye akili kubwa tumemuelewa Lema kafunga mjadala.
Hakuna Mwanachadema asiyemuamini Heche, sasa Lema ana akili kuliko hao oyaoya bin roporopo.
Mjadala umefungwa.
Huo mgawanyiko unaojaribu kuujenga hauwezi kutokeaCHADEMA fukuzeni Lema na wachaga wote ndani ya chama.
Hata ukimbizi wake Canada ulikuwa wa kimchongo tu, tapeli la kutupwa hilo.Kuna sehemu yoyote Lema amekuomba umuamini?
Uchokozi wa Lema kwa Heche hautaishia pazuri, itakuwa amepewa kazi maalumu kumuhusu Heche
Mkuu Dr Matola PhD Hiki ulichokiandika ndicho tunachopiga kelele humu kila siku, mentality ya kuweka chuki mbele dhidi ya serikali iliyopo madarakani (licha ya kuingia kwa mabavu) haiwezi kuifikisha popote CDM, "wapuuzi" wengi kama huyo dogo sativa ndio wanaofanya hata watu wenye akili zao CDM waonekane ndio wale wale.Yani unapata wapi muda kuwajibu watu vichaa kama huyo Sativa?
Heche asiingie kwenye mtego huu, huwezi kuishi Tanzania bila kushirikiana na serikali hata Chadema kama chama kinahitaji pesa za serikali kwa jina la ruzuku.
Hivi viwanaharakati uchwara mkiendelea kuviendekeza vitawapeleka pabaya.
Na mimi ndio nashangaa. Kitendo cha kumfosi boss mkuuHuu ni ujinga mwingine wa kumvuruga Heche. Hivi kwa hoja anazotema Heche na attacks zake kwa serikali unaweza kumtilia mashaka? Kwa nini suala ya yeye kusaidiwa pass na DG tusione kama kwenda front kupambania haki yake ya kusafiri?
Hoja zingine za kitoto kweli. Lema ana familia Canada, hivyo kupambania hati yake kwa kutumia mwanasheria kuna ubaya gani ili akaione familia yake?Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama ndo akafanikiwa kuirejesha huku akidai kwamba hata makamu mwenyekiti wa chama chao naye hati yake ilirejeshwa ila ni baada ya yeye kufanya kikao na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.
Kwa kifupi Lema anasema "mimi nilipata matatizo nikapambaniwa na Lawyer wa Chama, Heche alipata shida akaongea na maboss pale serikalini wakayamaliza"
Inawezekana kuna mengi waliongea kati ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Heche na hili lililonyetishwa na Lema ni mojawapo
Wasalaam