Kuna mambo mengine ni 'self inflicted wound''. Hii ni mara ya pili CHADEMA wanajiumiza wenyewe.
Kama ni mpira CHADEMA wana attack na CCM wapo defensive. Jambo la kushangaza, CDM wanarudisha mpira kwa kipa na kutoa sababu na nafuu kwa wapinzani wao. So sad!
Kutoa maoni kwa Wanachama si tatizo kabisa na Lema ana haki hiyo bila ruhusu ya mtu. Swali ni je maoni hayo yana impact gani katika CHADEMA yao. Kuna wakati kukaa kimya ni bora kuliko kuzungumza
Pili, TL anashindwa kuelewa kwamba kauli yake ni maelekezo hata kama ameitoa kwa mzaha. Nilipomsikiliza akizungumza ilikuwa ni kama ''sarcasm' lakini ile kauli ilipomtaja Heche imechanganya watu!
Kabla ya kauli ya TL msimamo wao ulikuwa wazi, baada ya hapo CCM wakatumia kama mwanya kuwavuruga
Unaposikia machawa kama akina Steve na akina Happyyy wanalazimisha Heche aende Kizimkazi lengo lao ni moja tu wapate picha za kusambaza duniani. It's known wapo desperate. Lini rambi rambi ikaombwa!
Nadhani kuna umuhimu mawakili wanaokutana na Tundu Lissu wamweleze achunge kauli zake, ziwe za kujenga na si kuleta utata.
Kwa Wanachama wengine hizi attack za wenyewe kwa wenye zinatoa mwanya kwa maadui. Kumbuka kwenye udhia penyeza rupia. Sioni kwanini mtu atoe maoni yanayowavuruga wenzake hata kama uhuru huo anao
CHADEMA stop this nonsense! mnakuwa vulnerable unnecessarily, ironically you lose public trust and popularity.
JokaKuu Ngongo Erythrocyte