Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.
Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.
Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.
View attachment 3703048
Hili nalo ni parody la nabii tapeli lemaKama hujamuelewa lema ( Ukiacha kumuamini ). Basi una matatizo ya Afya ya akili.
umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
Hilo dalali la kichaga nadhani hulijui vizuri,emu itukane gavo ,harafu uwe karibu nalo na lijue unapokaa,unipe mrejeshoumewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
Ndio maana nimeuliza, ningekuwa nimemuelewa nisingeuliza.Kama hujamuelewa lema ( Ukiacha kumuamini ). Basi una matatizo ya Afya ya akili.
Unamuona Lema anajua kujenga hoja au kuongea sana majukwaani ndio kujenga hoja.umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
Hili nalo ni li parody la nabii tapeli LemaUnamuona Lema anajua kujenga hoja au kuongea sana majukwaani ndio kujenga hoja.
Lema kazaliwa kufanya siasa anaongea unasikiliza hata kama haumpendi ,anashawishi kusikilizwa .Unamuona Lema anajua kujenga hoja au kuongea sana majukwaani ndio kujenga hoja.
Chama kina taratibu zake ukileta mambo ya kishikaji kwenye chama utakiendesha kishikaji shikaji...mbona kaeleza kuwa hao Mabalozi ni washkaji zake? Kwa hiyo bila shaka amezungumza nao kishkaji? Na Mabalozi wanaelewa Protocol za namna ya ku-engage watu kiofisi.
Lazima afuate utaratibu.Lema kazaliwa kufanya siasa anaongea unasikiliza hata kama haumpendi ,anashawishi kusikilizwa .
Kwa hiyo Lema kaja kujitapa mbele yetu jinsi anavyofahamiana na alivyokuwa akizungumza na Mabalozi na VP?
Ni wa kumpuuza tu huyo pimbiChadema kutaneni mmalize haya! Hakuna lililoharibika saana.