OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Lema si msaliti kwa Chadema, haiwezekani kabisa.Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.
Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.
Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.
View attachment 3703048
Chama kina taratibu zake ukileta mambo ya kishikaji kwenye chama utakiendesha kishikaji shikaji.
The gentleman is shrewd politician than any national leader or party member within Chadema circle.Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.
Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.
Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.
View attachment 3703048
Ume-google wapi hii naona kila sehemu unaipost.The gentleman is shrewd politician than any national leader or party member within Chadema circle.
And,
I think technically,
Godbless Lema knows more political issues within chadema family than any other national leader or party members,
and nobody can do anything about that today, and forever towards the gentleman freedom of speech
I'm sorry for confusion gentleman,Ume-google wapi hii naona kila sehemu unaipost.
"Washkaji wake" anawapelekea maswala ya CHAMA, tena bila ya kuwahusisha viongozi wenzake?..mbona kaeleza kuwa hao Mabalozi ni washkaji zake? Kwa hiyo bila shaka amezungumza nao kishkaji? Na Mabalozi wanaelewa Protocol za namna ya ku-engage watu kiofisi.
Unahangaika na huyu mgonjwa wa akili unadhani utafika naye wapi?Ume-google wapi hii naona kila sehemu unaipost.
"Washkaji wake" anawapelekea maswala ya CHAMA, tena bila ya kuwahusisha viongozi wenzake?
Maana ya yeye kuleta swala hilo katika maelezo yake hasa ni nini?
Ofisini?..Ni jambo la kawaida washkaji kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo siasa za ndani na kimataifa, michezo, etc. Ndio mambo wanaume huongelea wanapokaa pamoja.
Ofisini?
Naamini unajuwa vyema zaidi ya hivyo.
Kumtetea Lema katika hatua hii aliyofikia ni kujipa mzigo mzito sana na kufanya watu wajiulize maswali juu yake.
Kwani wewe unahoji kama nani?Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama.
Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha chama.
Lema asijipe ukuu kwenye chama, hakuna aliye mkubwa kuliko chama, chama ni utaratibu sio kila mtu kujifanyia anachotaka.
View attachment 3703048
Hata anapowalaumu viongozi wa chama chake kuongozwa na wanaharakati hadharani huoni kosa lolote?..kuna mtu anafanya kazi ya kuwachonganisha viongozi wa Chadema. Kwa maelezo aliyoyatoa sijaona kosa alilolifanya Godbless Lema.
Wewe unataka awe nani ndipo aweze kuhoji?Kwani wewe unahoji kama nani?
Hata anapowalaumu viongozi wa chama chake kuongozwa na wanaharakati hadharani huoni kosa lolote?
Unaposema "kuchonganisha" hebu tafakari maana yake ya kumhusisha Sugu katika taarifa zake. Huku ndiko kuunganisha chama?
Mkuu 'Joka' vipi tena?
Lema kachokonoa viongozi wenzake asikie wanasema nini. Walkampuuza, jambo ambalo limezidi kumvuruga zaidi akili na kufikia hapa alipo sasa hivi!
Mkuu 'JokaKuu', tuache masihara. Hii ni vita kali inayoikabili CHADEMA, pengine hata kushinda ile aliyowapelekea Jiwe wakati ule...i give him the benefit of doubt.
..nadhani mapito wanayopitia ni magumu.
..viongozi wanatakiwa kupewa moyo.
..pia viongozi wanatakiwa wawe na message moja na sio kila mtu ana message yake kwa wananchi.