Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

Muda ulikua ushaisha ndio maana jukwaa moja alisema washamaliza. Hakukua tena na haja
Pili ushauri wa lema haukua vile unataka uaminishe watu, alijikita zaidi kushauri mbinu za kuendeleza mapamamba anayofanya
 

Clip ya Ma vieiti ni edited na ilipotoshwa.

Kwamba kumbe hadi leo hilo hujui wewe ni hazina safi ya wahuni na hasa binti kiziwi kwa kujua au kutokujua au umbumbumbu!
 
Muda ulikua ushaisha ndio maana jukwaa moja alisema washamaliza. Hakukua tena na haja
Pili ushauri wa lema haukua vile unataka uaminishe watu, alijikita zaidi kushauri mbinu za kuendeleza mapamamba anayofanya

Muda ulipokuwa unaisha ulikuwa umeainishwa wapi? Tuliokuwa na maswali yetu tukitaka kuuliza wapi tulipothibitisha hatukuwa na maswali?

Polepole aliagana ma moderators baada ya mawaidha hayo ya Dak 50+?

Link clubhouse Polepole ilikuwapo mhadhara ulipofungwa?

Ya nini kuandikia mate mwiteni huyo Lema aitishe mhadhara alone kama hata wewe tu utakuwapo kupata mawaidha yake.

Tutakwenda na wenye hoja si viroja.
 
Wakati wa Magufuli akawa hataki katiba mpya, bali akaamua kushiriki uovu ili kumfurahisha Magufuli.

Ushauri ana hiari ya kuufuata ama kuacha maana sio lazima.
 
Uliusikia ushauri wake lakini? Hawezi kusoma kuwa Polepole aweza kuwa ni wale manguli humu jf?

Kwa brain ya Polepole, Lema si arudi shule?

Kama Polepole si super brilliant, kumbe brilliance ni nini?

..Polepole alionyesha kuunga mkono alichosema Godbless Lema.

..Na kidogokidogo Polepole ameanza kuelekea kwenye "NRNE" na "Tundu Lissu sio mhaini."
 
Ungepiga simu kwa Polepole kuwa asikubali hayo mawaidha ya Lema. Hiyo ndio demokrasia.
 
Lema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Huju rules of engagement. Kaa kimya.
 
Wakati wa Magufuli akawa hataki katiba mpya, bali akaamua kushiriki uovu ili kumfurahisha Magufuli.

Ushauri ana hiari ya kuufuata ama kuacha maana sio lazima.

Polepole hajawahi kuwa rais na hajawahi kutamka hataki katiba mpya. Ila nimemsikia katiba mpya iliahidiwa 2020 - 25.

Tunamsikiliza Polepole kufahami ambayo hatukuyajua.

Wenye ushauri wao watafute forum zao kama Wana madini tutawafuata.

Ushauri wao wa Dak 50+ usioukuwa na tija katikati ya tuliokwenda kuwasikiliza unatukwaza wadau.
 
Maslahi ya kundi lao. Ila watanzania tutaokota mambo kadhaa humo kwenye ukweli wake.
🤣🤣🤣.uzuri wana siasa wanajua wa Tanzania tunataka NINI.
Uwa tunafuta mabayan 1,000 Kwa Jema 1.
 
..Polepole alionyesha kuunga mkono alichosema Godbless Lema.

..Na kidogokidogo Polepole ameanza kuelekea kwenye "NRNE" na "Tundu Lissu sio mhaini."

Polepole anasema NRNE tangia mwanzo wala si kuwa hapa Kuna champion wa hilo.

Wasiotaka reforms ni wahuni waliouvuruga mchakato wa katiba mpya tokea 2014 huko!
 
Hapo ndipo chadema wanafail, wanahis peke yao wanaweza leta changes bila nguvu ya watu wa vyama vingine wenye nia njema.
Na hiyo ndo ujinga wa siasa.

Ujinga mzigo. Polepole, Lissu Kwa brain zao ni hazina Kwa taifa hili tujifinze kukubali matokeo.
 
Ungepiga simu kwa Polepole kuwa asikubali hayo mawaidha ya Lema. Hiyo ndio demokrasia.

Nilikosa muda huo kwa maana nilitaka nisemee clubhouse na nimtolee makavu kama bwana yule Kwa kutuchukulia dak 50+ Bure.

Bahati yake

Wengine sisi hatupendi mtu na ndiyo maana mwamba tulipoteza Imani si juzi!
 
Ujinga mzigo. Polepole, Lissu Kwa brain zao ni hazina Kwa taifa hili tujifinze kukubali matokeo.
Mtu kama Gwajima na Mpina walikua wanafaa sana kwa wakat huu ia wamehofia kushoboka na kukosa support ya chedema. Kuna ujinga flan upo pale Chadema sijui ni ubinafs sijui ni uchama sielew...
 
Katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya ccm ya 2015-20, ila Magufuli aliigomea. Polepole alipoulizwa akawa anasema Magufuli anafanya yanayotakiwa na katiba mpya, lakini alikuwa akisema hivyo kwa aibu kubwa, maana alijua waliwaaminisha nini wananchi.

Kuhusu ushauri, mwambie Polepole asitoe nafasi kwa hao akina Lema ubaki unamsikiliza yeye tu.
 
Nilikosa muda huo kwa maana nilitaka nisemee clubhouse na nimtolee makavu kama bwana yule Kwa kutuchukulia dak 50+ Bure.

Bahati yake

Wengine sisi hatupendi mtu na ndiyo maana mwamba tulipoteza Imani si juzi!
Hiyo ni juu yako, acha aliyepewa nafasi aongee. Hutaki mpigie simu Polepole akuhutubie ww mwenyewe bila kuingiliwa na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…