Mtu kama Gwajima na Mpina walikua wanafaa sana kwa wakat huu ia wamehofia kushoboka na kukosa support ya chedema. Kuna ujinga flan upo pale Chadema sijui ni ubinafs sijui ni uchama sielew...
Katiba mpya ilikuwa kwenye ilani ya ccm ya 2015-20, ila Magufuli aliigomea. Polepole alipoulizwa akawa anasema Magufuli anafanya yanayotakiwa na katiba mpya, lakini alikuwa akisema hivyo kwa aibu kubwa, maana alijua waliwaaminisha nini wananchi.
Kuhusu ushauri, mwambie Polepole asitoe nafasi kwa hao akina Lema ubaki unamsikiliza yeye tu.
Lema no reforms imeishia wapi?
Anachosema Polepole sasa kinazuia kilichokuwepo kwenye kwenye ilani yao ya 2015-20?Polepole kasema ilikuwamo kwenye 2020 - 25. Hilo nalo hujasikia?
Hiyo ni juu yako, acha aliyepewa nafasi aongee. Hutaki mpigie simu Polepole akuhutubie ww mwenyewe bila kuingiliwa na mtu.
Anachosema Polepole sasa kinazuia kilichokuwepo kwenye kwenye ilani yao ya 2025-20?
Hata upeo wa wauliza maswali ulikuwa chini sana, mtu anakomaa majina yatajwe, maswali yanaulizwa yale yale kwamba enzi za JPM mbona hukusema etc. Pole pole aendelee kutema moto kusambaratisha Mtandao bila kutoa nafasi ya kuulizwa maswali, maana waulizaji inaonekana hawajui maswali ya kuuliza.Lema alinishangaza,
Iweje mtu aliyewahi kuwa Mbunge asijue kuuliza swali,
Badala ya swali, anatoa maelezo mareefu kwa issue isiyo na Msingi,
Yaani ulazimishe Lissu atajwe ndio aone ni uzalendo,
Lema Tulia, acha kelele.
Tunahitajika kuungana pamoja kupambana na adui yetu mmoja
REMA NI MOJAWAPO YA MAGARASA YA CHADEMA ...CHADEMA KINA WAPUMBAVU WENGI SANA ....Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!
Hata upeo wa wauliza maswali ulikuwa chini sana, mtu anakomaa majina yatajwe, maswali yanaulizwa yale yale kwamba enzi za JPM mbona hukusema etc. Pole pole aendelee kutema moto kusambaratisha Mtandao bila kutoa nafasi ya kuulizwa maswali, maana waulizaji inaonekana hawajui maswali ya kuuliza.
REMA NI MOJAWAPO YA MAGARASA YA CHADEMA ...CHADEMA KINA WAPUMBAVU WENGI SANA ....
Kama ni sehemu ya project hana namna lazima atimize SMART principle!Lema....
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!
Good thinking, remember also it is never too late in life, similarly time has already toldHumphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii ilipo tunawahitaji wote wakiwamo wa aina ya Polepole kumvaa binti kiziwi.
Makelele yakikokolea mbona masikio yatazibuka?
Go Polepole go tunasubiri mhadhara #4 utaoshuka bila shaka sasa na lile kombara lenyewe la nyuklia.
Ashaurilwe Lema kuuliza maswali au kukaa kwa kutulia Polepole haihitaji ushauri wa watu wa aina yake!
Good thinking remember also it is never too late in life
Katikati maisha hakuna kuchelewa
The country is ripe for a coup, where is our Captain Ibrahim Traore?
Wanashupaza shingo a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendoNa ndiyo maana tunasema. Mwamba Aliziba masikio akawa overtaken na events.
Tunataka mabadiliko sasa na wote wenye mawazo kama yetu leo si jana wala juzi.
Lemma ni mzee wa kupenda attention akiona mtu yoyote anafanya kitu chenye kinaungwa mkono na watu wengi utamuona anajitokeza na kumponda huyo mtu anataka aonekane yeye ndo anauchungu kuliko yoyote wakati kajificha Canada