..hukuwaona viongozi wa Chadema wamekwenda kusali na waumini wa Gwajima wakati yeye mwenyewe kaingia mitini?
Angalia comment hii ilikuwa ya lini.
Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah
Jiridhishe pia:
Liko wapi tamko la chama kumwunga mkono Gwajima?
Siasa za machale machale kama za mwamba hazilipi!
Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
Haki haipiganiwi gizani!
..mbona Makamu Mwenyekiti Heche ametoa kauli kumtetea Gwajima? Wakati huohuo Gwajima mwenyewe amejificha.
..yule Mchungaji anayehangaika na waumini wa Gwajima ni kiongozi wa Chadema.
..Nadhani hakuna chama cha siasa kimesimama na Gwajima kuzidi Chadema.
Tunalo tamko lolote la kumwunga mkono Gwajima kama mpigania haki mwenzetu?
..Chadema sasa hivi iko chini ya Makamu Mwenyekiti kwasababu Mwenyekiti yuko magereza.
..Kwa msingi huo kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema kuhusu suala lolote lile ndio msimamo wa chama.
..John Heche ametoa kauli zaidi ya mara moja kumuunga mkono Gwajima.
..Viongozi wa Chadema wamekwenda kusali na waumini wa Gwajima, wakati yeye mwenyewe amejificha.
..Kwa maoni yangu hakuna chama cha siasa kilichomuunga mkono Gwajima kuzidi Chadema.
Ila Mimi huwa nashangaa sana.Lissu ana kazi sana kazungukwa na wasioweza kuelewa. Kuwaelewesha ni shughuli pevu.
Kama brother J
Dah yani hata Tundu Antipas Mughway Lissu hawezi kushindana na Polepole?Mimi jana ndio nimegundua kuwa polepole ni akili kubwa sana...hakuna wa kushindana kwenye siasa.
Dah yani hata Tundu Antipas Mughway Lissu hawezi kushindana na Polepole?
Huyu Tindo hataki kabisa hizi stori za CCM kuongea ukweli😂Haki haipiganiwi gizani:
Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini
Tukiwalilia Hali wanaoweza kuwa washirika tokea enzi na enzi huko.
Taabu sasa shingo kushupazwa.
Wakuelewe wapi wale wanachama uchwara?
Tinde, JokaMKuu au nasema uongo?
Huyu Tindo hataki kabisa hizi stori za CCM kuongea ukweli😂
Kwahiyo kama ni mshenzi, aendelee na ushenzi asiongee ukweli?Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.
Kwahiyo kama ni mshenzi, aendelee na ushenzi asiongee ukweli?
Chadema tu ndio wanayo haki ya kuongea ukweli?
Hawahawa akina Lema na Lissu , chini ya Mwenyekiti Mhe Mbowe ndio waliompitisha Lowasa kugombea Urais,wakaanza kumsafisha.
Mbona wao wanaendelea kuongea ukweli na wala watuwakumbushi.
Hawezi mkuuDah yani hata Tundu Antipas Mughway Lissu hawezi kushindana na Polepole?
Pole Pole yuko Live chaaapHizi si ndiyo zile tombola kama za tatu mzuka, bingo zikiendeshwa na kina Ponjoro wa Kinondoni ?
Suala la kufa mtu si ni la muda tu ukitilia maanani na wasiojulikana nao wapo?
Kama huyu ndugu ni nabii si akawalaani watesi wetu au akajishindie tatu mzuka huko?
Pole Pole yuko Live chaaap