Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

Hawezi kujibu kila kitu vile wewe utaridhika! Wewe unataka POLEPOLE afanyaje sasa? Asiongee?
Aseme no reform no election?
Aombe msamaha kwa kuwa kwake kimya kipindi cha jpm?
Yana changia nini kwenye hoja zake za sasa?
 
..anaitwa TINDO sio Tinde!

Zingatia Tinde ni mtu mwingine na huyo ndiye niliyemwita!

Zingatia pia, I am very specific and very particular.

Si unajua aliimba Prof. Jay: "Tuko tofauti."
 
Hawezi kujibu kila kitu vile wewe utaridhika! Wewe unataka POLEPOLE afanyaje sasa? Asiongee?
Aseme no reform no election?
Aombe msamaha kwa kuwa kwake kimya kipindi cha jpm?
Yana changia nini kwenye hoja zake za sasa?

Nimuda muafaka sana wa kutoka kwenye umimi.

Ni ajabu na kweli watu kutaka u star au recognition kwenye mambo nyeti kama haya ya ukombozi kamili wa nchi:

Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

Viva TAL, viva Polepole.
 
Lema alikuwa anaweka record sawa. Polepole pamoja na kuongea ukweli dhidi ya serekali sasa, bado ni mshenzi aliyeharibu demokrasia ya nchi hii.

Sisi wakristu kuna mafundisho yanasema,

" Luka 15: -7:
Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

kama ametubu na anataka sasa Tanzania ikae sawa, so be it.....
 

Hadi sasa mngali na cha kumshauri Polepole Ili afanye vyema zaidi?

Polepole na TAL ni mpango was Mungu!
 
Hadi sasa mngali na cha kumshauri Polepole Ili afanye vyema zaidi?

Polepole na TAL ni mpango was Mungu!

..jana nimemsikia Polepole anasema uchaguzi wa mwaka huu ni ulaghai.

..ushauri wangu ni ajisafishe kwa kukiri hata chaguzi zilizopita zilikuwa za DHULUMA.

..Nadhani akiulaani na unyama aliofanya Magufuli dhidi ya wapinzani ataaminika na kukubalika zaidi.
 

Wanamtandao wamewahi kusimika mgombea kwetu bila sote kujua.

Na bado hata leo wana watu wao kwetu, lukuki na watakuwapo mahakamani ndani ya shuka!



Tungeyajulia wapi haya. Ondoeni ujuaji wenu. Mlituchelewesha sana na mwamba Kwa ujuaji uchwara wenu, tafadhali msiendelee kutuchelewesha sasa. Watu wa namna gani nyie?

Wa kuomba radhi alikuwa yeye au ninyi?

Mko uchi chutameni!
 

..Polepole anapaswa kuomba radhi kwa kuwa sehemu ya unyama na ukatili wa serikali ya awamu ya 5.

..mimi nadhani atafika huko, kwasababu mwanzoni hakuwahi kusema uchaguzi ni ulaghai.

..Mazungumzo ya kitaifa anayopendekeza Polepole, kama tunataka kuwa wakweli, ni lazima yahusishe matatizo ya awamu zote, tangu tuingie katika mfumo wa vyama vingi.
 

Tunafarijika mno kuwa na Polepole leo.

Habari ndiyo hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…