Lema amjibu Rose Shaboka: Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu

Na hili ni tatizo la chama changu, we need to pick our battles wisely. Shaboka alisimama na waandamanaji na waliouwawa MO29 kiukweli kwa kile tu niliona huyu mama anajitambua.

Sio kila kitu ni cha kucomment tunahitaji kuunganisha makundi yote ambayo yapo against CCM, sio tena kuanza kulumbana maana naye ana supporters wake so we can ruin our voter base. Niliona hata alimshambulia Geordavie na Mwamposa unnecessarily wakati tunajua hali ya kisiasa iliopo usiposema mitano tena unafungiwa kanisa.

Kuna haja ya chadema kuanzisha kitengo cha PR au kutafuta wataalamu wa branding ili kuchagua maneno na wakati gani wa kuyasema. Positioning, segmentation, targeting ni muhimu sana kwenye strategic communicaton na branding ya chama.

Cc Proved
 
Inabidi kutuliza akili, na kuweka pembeni unaposoma andiko ama kumskiliza mtu,

Nadhani Rose alimaanisha kuwa kuolewa na ikiwa una elimu, au uwezo wa kufanya kazi ndoa isiwe ndo gereza kwa kisingizio cha kutumikia ndoa,

Dada mmoja alitaka ushauri nilimwambia na kumsisitiza unaenda kuolewa Ila jamaa yake hataki kufunga ndoa kwa sasa nikampangilia hataki acha usiolewe na vishoiya wanaotaka kukuzalisha au aje akunyanyase kisa tuu umezaa naye bila ndoa, simaanishi hakuna wanandoa hawateseki hapana wapo

Jamaa mbona alimwambia ampe muda wakafunga ndoa na hakuna kuachishwa kazi ukafulie watu nguo hakuna na sasa anapambania ndoa, kazi na machaliii,,

Labda uingie kwenye ndoa ukitaka ligi na mwanaume hiyo ni mbaya Ila kama mnafanya kwa ustawi wa ndoa yenu aaaah dada pambana,,.

Wanawake wengi wameachwa solemba kwa mgongo wa ndoa... Na mwishoni ndo unaitwa mdangaji hujielewi n.k

Tufunge na akazi tukutane Tena hapo saa nane
 
Unasema "nadhani". Kama alimaanisha unavyodhani kwa nini hakusema wazi yale unayodhani? Ukweli ni kwamba huyo mwana mama alimaanisha hicho hicho alichosema! Huyu ana zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa! Maswali: 1. Kwanini haya anayosema hakuwahi kuyasema miaka ya mwanzo ya maisha yake ya ndoa? 2. Kwa nini anayasema sasa tena kwa hisia kali baada ya ndoa yake kuingia kwenye changamoto. 3. Maneno hayo aliyosema je yanachangia kuboresha maisha ya wanandoa? Ukweli ni kwamba anasema maneno hayo akiwa kwenye uchungu mkali na kwa bahati mbaya sana ameshindwa kuuficha uchungu wake!
 
Kwanza Rose hajaanza kuongea ishu za ndoa na mahusiano leo wala Jana.... ni muda mrefu,,

Na hizo kazi za nyumbani kwa kazi zake toka mwanzo kazifanya kwa uchache wake

Kuhusu kuelezea hisia zake kwa alichokisema sikubaliani na wewe moja kwa moja

Ikiwa anamaanisha wanawake wasiolewe kutumikia majukumu Yao kwa waume zao hapo nitaenda kinyume naye, maake ukishaolewa haijalishi una elimu, fedha ama mali itabid umuheshimu mumeo huwezi inabidi uachie tuu ngazi,

Pia kama anamaanisha ndoa isiwe kifungo kwa mwanamke basi yupo sahihi, Kuna watu wanaachishwa kazi, biashara wengine hata kufungiwa ndani kisa ni mume kasema hiyo siungi mkono,

Mwanamke na mwanaume wote mna jukumu la kufanya kazi kwa ajili ya watoto na maendeleo yenu ya ndoa huku kila mmoja akichukua nafasi yake ya mume na mwingine mke

Tunatofautiana mitazamo pia mzee
 
Huwezi kuwa na mtoto ukiyemsomesha akaishia kuwa housewife Kwa kisingizio Cha ndoa ,ni matumizi mabaya ya Rasilimali fedha na watu.
Kama yeye na mumewe wamekubaliana basi maamuzi yao yaheshimiwe. Vilevile kuna changamoto ambayo haiongelewi na wengi, nayo ni wanawake kutosema dream career zao nyakati za uchumba. Wengi wanafikiri uenda wakifunguka mapema wanaweza kukosa ndoa kwahiyo wanakaa kimya. Sasa mtu umeoa mke unajua mama wa nyumbani mnafika ndoani ndio anakuja na mambo ya ku-persuade career yake. Hapo ndipo mara nyingi kutoelewana kunaanzia. Wanawake wajitahidi kuweka wazi malengo yako kitaaluma kabla ya ndoa ili mwanaume ajue mapema kama anafunga ndoa na mama wa nyumbani au career woman
 
Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema yake;

------
Naandika kwa ajili ya binti yangu Brilliant!

Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha ndoa kana kwamba ni gereza la ndoto, wakati ukweli ni kwamba ndoa bora ni mahali ambapo ndoto za pande zote mbili hukua. Lakini juu ya ndoto zote, kuna ndoto moja kuu zaidi, kuishi kwa furaha, upendo, heshima na unyenyekevu.

Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu, kama ambavyo elimu si kipimo cha ubora wa ndoa wala thamani ya mtu. Mambo haya yanaweza kuishi pamoja bila mgongano.

Elimu haimfanyi mtu kuwa mkubwa kuliko huduma, na huduma haipunguzi hadhi ya mtu. Mtu anaweza kuwa na shahada nyingi, akaongoza na kubadilisha jamii, na bado akachagua vitendo vya upendo ndani ya ndoa. Hilo si kushushwa hadhi, ni uchaguzi wa upendo.

Tatizo huanza pale majukumu ya kifamilia yanapoonekana kama adhabu badala ya kujitoa. Ndoa si mashindano ya vyeo au vyeti, bali ni safari ya kuulizana, Leo nitakufanyia nini ili maisha yetu yawe bora zaidi ?

Ndoto za mtu mmoja mmoja zina thamani, lakini ndoa yenye afya hujengwa pale ambapo “sisi” inakuwa kubwa kuliko “mimi”. Wakati mwingine mmoja huweza kuahirisha au kubadilisha ndoto yake kwa ajili ya familia, huo si udhaifu, ni ukomavu.

Swali la msingi si nani anapaswa kufua boxer, bali ni, je, tunajenga maisha ambayo kila mmoja ana nafasi ya kutimiza ndoto zake huku tukilinda upendo, amani na heshima ya pamoja ?

Mwisho wa yote, ndoa haijengwi na degree wala cheo, bali na upendo, heshima, unyenyekevu na kujitoa. Hapo ndipo ndoto mbili zinapogeuka kuwa maisha bora ya pamoja. Mwanamke hapaswi kuzuiwa kukua katika elimu na maarifa, lakini pia anapaswa kuelewa kuwa ukuaji wake wa kweli huonekana zaidi pale anapolinda ndoa kwa unyenyekevu, busara na hekima kama ilivyo kwa mwanaume pia.

“Ndoto za mtu mmoja zinakuwa muhimu, lakini katika ndoa yenye hekima, ‘mimi’ hufa ili ‘sisi’ iishi kwa upendo, heshima na unyenyekevu.”

NB: Pengine My beloved Sisy Rose alikuwa na msingi mzuri kwenye hoja yake lakini pengine uwasilishaji wake tu ulipaswa kwenda mbele zaidi kwa unyenyekevu na maarifa. Maana ikieleweka juu juu ni hatari sana.
Alimaanisha mda wooooote aliopoteza kusoma angeanza tu kufanya hizo kazi. Hakuna formular ya kufua nguo au kazi za ndani.
 
Nadhani Rose alimaanisha kuwa kuolewa na ikiwa una elimu, au uwezo wa kufanya kazi ndoa isiwe ndo gereza kwa kisingizio cha kutumikia ndoa,
Aliweza kuiwasilisha hoja yake kwa busara na hekima zaidi mfano angesema "mimi ni mwanamke msomi lazima nitoke nifanye kazi ili na mimi niweze kusaidiana na mume wangu kujenga famikia yetu". Angeweza kueleweka vizuri zaidi. Lakini kauli aliyotoa(siwezi kuishia kupika na kufua boksa) ni zilezile tones za wakina joyce kirya na wale host wa kipindi cha dadaz
 
Wanawake wenye frustration ni hatari sana.
Huyo inaonekana ndoa ilimtenda vibaya hivyo anaona kila ndoa ni kama yake. Au anatafuta kujadiliwa na kupata umaarufu kwa sababu Bongo mtu akijitoa ufahamu ndiyo anajadiliwa na kuwa maarufu.
 
Kama yeye na mumewe wamekubaliana basi maamuzi yao yaheshimiwe. Vilevile kuna changamoto ambayo haiongelewi na wengi, nayo ni wanawake kutosema dream career zao nyakati za uchumba. Wengi wanafikiri uenda wakifunguka mapema wanaweza kukosa ndoa kwahiyo wanakaa kimya. Sasa mtu umeoa mke unajua mama wa nyumbani mnafika ndoani ndio anakuja na mambo ya ku-persuade career yake. Hapo ndipo mara nyingi kutoelewana kunaanzia. Wanawake wajitahidi kuweka wazi malengo yako kitaaluma kabla ya ndoa ili mwanaume ajue mapema kama anafunga ndoa na mama wa nyumbani au career woman
Utaoa msomi awe mama wa nyumbani? Hujuwaona form 4 failures? Hauko serious
 
Aliweza kuiwasilisha hoja yake kwa busara na hekima zaidi mfano angesema "mimi ni mwanamke msomi lazima nitoke nifanye kazi ili na mimi niweze kusaidiana na mume wangu kujenga famikia yetu". Angeweza kueleweka vizuri zaidi. Lakini kauli aliyotoa(siwezi kuishia kupika na kufua boksa) ni zilezile tones za wakina joyce kirya na wale host wa kipindi cha dadaz
Upo sahihi kabisa ndiyo maana nikamjibu jamaa nilielewa alichosema huyo Rose hapa ndo umeongezea kuwa njia aliyotumia kuwasilisha ujumbe wake ndipo alipozingua.... Ila ujumbe umefika
 
Utaoa msomi awe mama wa nyumbani? Hujuwaona form 4 failures? Hauko serious
Kwani mtu akiishia form 4 lazima awe failure. Hakuna wanaofaulu na kuishia hapo hapo kwa maamuzi yao au kukosa ada?

Wanawake wajenge utamaduni wa kuweka wazi mipango yao ya kiuchumi na elimu kabla hawajaolewa. Kuja na mambo mapya ndoani inaleta migogoro
 
Na hili ni tatizo la chama changu, we need to pick our battles wisely. Shaboka alisimama na waandamanaji na waliouwawa MO29 kiukweli kwa kile tu niliona huyu mama anajitambua.

Sio kila kitu ni cha kucomment tunahitaji kuunganisha makundi yote ambayo yapo against CCM, sio tena kuanza kulumbana maana naye ana supporters wake so we can ruin our voter base. Niliona hata alimshambulia Geordavie na Mwamposa unnecessarily wakati tunajua hali ya kisiasa iliopo usiposema mitano tena unafungiwa kanisa.

Kuna haja ya chadema kuanzisha kitengo cha PR au kutafuta wataalamu wa branding ili kuchagua maneno na wakati gani wa kuyasema. Positioning, segmentation, targeting ni muhimu sana kwenye strategic communicaton na branding ya chama.

Cc Proved
Sahihi kabisa.

Sio Kila 'Trend' lazima Chadema waruke nayo, mengine waache tu yawapite.
 
Kwani hiyo ni speech ya chadema au ya lema? Lema ana maisha yake binafsi kama unavyoona tu wapo viongozi wa chadema wengine simba wengine yanga wapo huru
 
Wanaume mnaomtetea huyo shangaz mna udhaifu, lakin ni uhuru wake kusema analojiskia na wenu kuwaza yuko sahihi kama ilivyo wangu kuwaona madhaifu dhalili legelege.. mitazamo tu, jamii imevaa sketi tunalazimishwa kucheza rede ni uamuzi wako uingie dimbani au ukae pembeni kushangaa nini hiki kama kina sie.
 
Back
Top Bottom