Lema amjibu Rose Shaboka: Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu

Lema amjibu Rose Shaboka: Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu

katika ndoa yenye hekima, ‘mimi’ hufa ili ‘sisi’ iishi kwa upendo, heshima na unyenyekevu.”
 
Skyler, mke wa Walter White kwenye tv show kali namba 1 duniani, Breaking Bad, alikuwa anaacha kazi za kuajiriwa pindi anapokuwa mjamzito, ili alee mimba na mtoto akizaliwa mpaka afike around miaka 2 hivi. Ni mke aliyetambua nafasi yake na hakulalamika kuonewa. Alipoanza kazi full time ndipo tabia zote za kishenzi zilipoanza.

Rose Shaboka ameongea kwa uchungu sana, kujibu mapigo ya mumewe Nick Shaboka, kuwa amemzalisha mara 3 hivyo hawezi shindana na mwanamke huyo.

Wote wawili, waende kwa Dr. Elly au mama Terry, wapate ushauri na tiba ya kisaikolojia.
 
Products toka migombani
 

Attachments

  • 20260709_012941.jpg
    20260709_012941.jpg
    432.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom