Uchaguzi 2020 Lema amtaka Humphrey Polepole kugombea ubunge Arusha Mjini

Uchaguzi 2020 Lema amtaka Humphrey Polepole kugombea ubunge Arusha Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini .

Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote za polisi apewe polepole , halafu tuone mwisho wa siku nani ataibuka mshindi
 
2020 hakutasalia hata kiti kimoja cha upinzani nchini maana hakuna uchaguzi ila kupita bila kupingwa, mbele ya jiwe ni bora wafe watu ushindi upatikane. Jiandae Lema.
Siyo rahisi kama unavyodhani .
 
.
16865103_836153086523660_6258834125230694905_n.jpeg
 
Back
Top Bottom