Uchaguzi 2020 Lema amtaka Humphrey Polepole kugombea ubunge Arusha Mjini

Uchaguzi 2020 Lema amtaka Humphrey Polepole kugombea ubunge Arusha Mjini

mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
Kwani dunia ndio otapiga kura tanzania?
Jiandaeni kisaikolojia,magufuli ni mpaka 2025 [emoji1241][emoji818]
 
Tutake radhi wanaume wa Tanga, au tueleze kwa facts ulegelege wetu
Nawaamini sana wana Apollo wa Arusha,sio legelege kama wanaume wa Tanga au Jiji kuu.
Lema anajiamini sana kutokana na hulka ya vijana wa Arusha.Hawazulumiki ukiwaibia lazima wakinukishe kisawasawa...
 
mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !

On your sleeping table, Tanzania is the world.
 
mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
Mnajifariji saana.
 
Arusha ya kijani inakuja

Mh.lema arudie kazi yake ya udalali tu

Arusha ya “kijani” itoke kwa nani?

Lema is giving ya sleepless nights?

He must be a bigger of threat to yall!

Mwenezi wa CCM nchini ameacha wabunge karibia 400 kaamua kumu-threat Lema?!!
 
Lema asijilinganishe na polepole sio size yake

State agent

State agent or Satan agent,
Wana JF tunakuona unavo jimwambafy na dharau nyingi kwa Lema na upinzani…!
Ushauri wa bure: Hv unajua mpanda ngazi hushuka …?Usifikri hapo ulipo utakaa milele ipo siku utajikuta ni Slave agent! Mbona ni swala la muda tu!
 
mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
Halafu kwa kutumia hiyo tochi Lema na upinzani ndio watashinda? Inaonekana wewe bado mchanga sana kwenye siasa. Kila kitu jumuiya za kimataifa. Muulize Maalim Seif na jumuiya zake za kimataifa aliishia wapi kama sio kwenye uzinduzi wa kitabu cha My Life; My Purpose!
 
Hii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini .

Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote za polisi apewe polepole , halafu tuone mwisho wa siku nani ataibuka mshindi
View attachment 1266471
hii battle hata boss wa polepole imemzidi kimo
 
Lema amepoteza mwelekeo

Ajiandae kustaafu ubunge tu
Dada mumeo huyo kawahi umuwekee dhamani,ccm wote matapeli,wezi,mafisadi,vilaza hakuna mwenye nafuu
tapatalk_1574167479723.jpeg
 
Kalist Lazaro ndio anakuwa Mbunge wa Arusha kupitia CCM. Madiwani wengi watamfuata Lazaro.
Lena hana tena nafasi.
Ashukuru kwa muda aliokaa na siasa za kishamba shamba
 
Back
Top Bottom