Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Lema amepoteza mwelekeo
Ajiandae kustaafu ubunge tu
Amepotez mwelekeo according to who?
Wewe?
Buaaahahahhaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema amepoteza mwelekeo
Ajiandae kustaafu ubunge tu
ahahahaha umenikumbusha ukifika pale mjini Arusha nyuma ya stendi kuna kahoteli kanaitwa Jogoo House wataalam wa kuchoma nyamaKwa arusha hata ukimweka CCM na jogoo, jogoo atashinda asubuhi tu
Kwani dunia ndio otapiga kura tanzania?mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
Nawaamini sana wana Apollo wa Arusha,sio legelege kama wanaume wa Tanga au Jiji kuu.
Lema anajiamini sana kutokana na hulka ya vijana wa Arusha.Hawazulumiki ukiwaibia lazima wakinukishe kisawasawa...
mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
nini 2025 mjomba ? Yahaya Jammeh alipanga afike 2050 ! leo yuko wapi ?Kwani dunia ndio otapiga kura tanzania?
Jiandaeni kisaikolojia,magufuli ni mpaka 2025 [emoji1241][emoji818]
Amepotez mwelekeo according to who?
Wewe?
Buaaahahahhaaa
Hahahahaha! nimecheka sana kila tunda lina mti wake bwana na hivyo ndivyo ilivyo.Kwa arusha hata ukimweka CCM na jogoo, jogoo atashinda asubuhi tu
Mnajifariji saana.mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
Arusha ya kijani inakuja
Mh.lema arudie kazi yake ya udalali tu
Lema asijilinganishe na polepole sio size yake
State agent
Halafu kwa kutumia hiyo tochi Lema na upinzani ndio watashinda? Inaonekana wewe bado mchanga sana kwenye siasa. Kila kitu jumuiya za kimataifa. Muulize Maalim Seif na jumuiya zake za kimataifa aliishia wapi kama sio kwenye uzinduzi wa kitabu cha My Life; My Purpose!mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
Lema asijilinganishe na polepole sio size yake
State agent
hii battle hata boss wa polepole imemzidi kimoHii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini .
Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote za polisi apewe polepole , halafu tuone mwisho wa siku nani ataibuka mshindi
View attachment 1266471
Dada mumeo huyo kawahi umuwekee dhamani,ccm wote matapeli,wezi,mafisadi,vilaza hakuna mwenye nafuuLema amepoteza mwelekeo
Ajiandae kustaafu ubunge tu
ANAGOMBEA KALIST AU UNASEMAJE?Mchukulieni fomu Polepole Arusha Mjini