Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Lema asijilinganishe na polepole sio size yake
State agent
Lema asijilinganishe na polepole sio size yake
State agent
Ni kweli mkuu Polepole sio size ya Lema kwa kuwa Polepole hajitambui na anaongea asicho kiamini. Ktk mapendekezo ya katiba mpya polepole alitoa mapovu ktk kila kona na ya nchi na mwenzie propesa Kibudu akidai vyeo vya ukuu wa Wilaya na ukuu wa mkoa ni mzigo kwa taifa na havina tija. Lakini polepole yule yule aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Ubungo na akakubali cheo alichotwambia ni mzigo kwa taifa na hakina tija.Lema asijilinganishe na polepole sio size yake
State agent
2020 si lelemama , nchi inaenda kuishia hapo .Ningeunga mkono kauri ya Godbless Lema, kama Serekali ya JPM inaheshimu kura za waliopiga kura. Figisu ya kwanza je Lema atapewa from ya yeye kuiombea? Pili kama atapewa from je baada ya kujazwa itapokelewa? Tatu baada ya kuijaza kwa usahihi na kupkelewa je msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM na ana maagizo na onyo kali la kuhakikisha mpinzani wa CCM hashindi. Lakini pia amepewa mamlaka yote ya kuhakikisha Polepole anashinda! Je Lema hata kama atapigiwa kura zote na wapigakura wa Arusha anaweza kutangazwa mshindi?
mkuu habari za Temeke mikoroshiniMheshimiwa mbona una jazba! Kwani amekwambia kuwa anataka kugombea ubunge? Tulia tuu mheshimiwa wangu kwani mchezo huu hautaki hasira!!!!
Mi naishi Tandale kwa mtogolemkuu habari za Temeke mikoroshini
"Nyani haoni Kunduole!" Kama Lema aliwahi kuvuta Bangi alivuta akinuwizia zimpe akili na kujiamini. Lakini wewe ulivuta Bangi bila kunuwizia kitu, matokeo yake umekuwa zezeta la CCM kuwasumbua watu wenye akili mitandaoni.Wataalam wanasema kuvuta bangi pafu moja hukaa kwenye ubongo miaka saba(7) sasa nimeamini.
Wewe tangu upoteze huo mfereji umekua na akili za hovyo sanaLema amepoteza mwelekeo
Ajiandae kustaafu ubunge tu
JPM,ana uhakika wa kuendesha chafuzi badala ya chaguzi. Chafuzi Ni mfumo aliouna ukifanyika Uganda, Zanzibar, Ruwanda, Burundi, na Zimbabwe kwamafanikio bila jumuiya za mataifa kuchukua hatua yoyote. Hivyo JPM haoni sababu ya kumzuia kuuendesha Uchafuzi 2020.2020 si lelemama , nchi inaenda kuishia hapo .
Kila thread post #2 ni wewe kwa hiyo unakaa kusubiri zifunguliwe uhare!Lema amepoteza mwelekeo
Ajiandae kustaafu ubunge tu
Ili ueleweke vizuri, waambie magu ajishushe 2020 akagombee ubunge Arusha ajue kwa nini inaitwa Arachunga!Kwa arusha hata ukimweka CCM na jogoo, jogoo atashinda asubuhi tu
Atashangaa akipata zaidi ya 20% ya kuraIli ueleweke vizuri, waambie magu ajishushe 2020 akagombee ubunge Arusha ajue kwa nini inaitwa Arachunga!
sasa kwa hali kama hiyo halafu aje ashinde huyo lema si atakuwa ametumia ile kazi yake ya zamani kupata hizo kura aache ujinga huyo lemaHii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba ccm itashinda ubunge Arusha Mjini .
Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote za polisi apewe polepole , halafu tuone mwisho wa siku nani ataibuka mshindi
Mchukulieni fomu Polepole Arusha Mjinisasa kwa hali kama hiyo halafu aje ashinde huyo lema si atakuwa ametumia ile kazi yake ya zamani kupata hizo kura aache ujinga huyo lema
Yaani huyu kiazi na viazi vingine viwili niliamua kuvipotezea....sidhani kama huwa wanaelewa content au wasoma tu kichwa cha habari hlf wanacoment tu. Ni mazwazwa kiwango cha sgrWewe tangu upoteze huo mfereji umekua na akili za hovyo sana
Sasa wewe unapokwenda siko, unafahamu yule aliyefukuzwa seminari sababu ilikuwa nini? Kwa taarifa yako alikuwa kayaman! Sasa alivuta pafu ngapi hatujui, ukizidisha mara miaka 7 unaweza kukuta hiyo one decade kama akichakachua ikaisha bado moshi upo tuu kichwani. Akigundua unamsema kiaina atakufanya aliyo mfanya mzee wa goli la Diego AmandusWataalam wanasema kuvuta bangi pafu moja hukaa kwenye ubongo miaka saba(7) sasa nimeamini.