Pre GE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho !

Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni.
Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
Hii tangia saa 11 ndugu? Imeshapitwa na wakati
 
Huyu Lema anatatizo la afya ya akili na atachanganyikiwa zaidi Mbowe akishinda uenyekiti
 
Huyu jamaa ndiyo kawaingiza mkenge Lissu na Heche.
Hana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…