Pre GE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamani nyumbu limepanick hukuuuuu,....

Kesho baada ya mwamba mbowe kuwaonyesha "who's the boss" mjini hapa, mtazidi kupanick dadadadadeki!
Mbowe kesho anawaonyesha cha mtema kuni hao ma diaspora Lisu ,Lema and company ltd mi diaspora iliyoko nje inayotaka kupora Chadema kwa mtanzania mwenzetu mshinda Tanzania Mbowe
 
Kambi ya kampeni ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe anayewania kutetea kiti chake, imeripotiwa kudhibiti kura zaidi ya 700 za wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku jumla ya wajumbe wote wanatarajiwa kufikia 1328.

Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika kesho, tarehe 21 Januari 2025, katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya timu ya kampeni ya Mbowe, wajumbe hao halali na wenye sifa za kupiga kura wamewekwa katika kambi mbalimbali jijini Dar es Salaam, zikiwemo maeneo ya Ubungo, Manzese, na Buguruni.

Hatua hiyo inalenga kuhakikisha uaminifu wa wajumbe hao katika kumpigia kura mgombea huyo.

Mmoja wa wajumbe walioko kwenye moja ya kambi hizo ameithibitishia Jambo TV kupitia ujumbe mfupi wa maandishi kwamba wapo chini ya uangalizi maalum, na hawaruhusiwi kutoka nje ya maeneo waliyopo.

Ameeleza kuwa ulinzi umeimarishwa na unasimamiwa na moja ya kampuni za ulinzi jijini Dar es Salaam.

Chanzo hicho kiliongeza kuwa huduma zote, ikiwemo chakula, malazi, na vinywaji, zinatolewa bure kwa wajumbe walioko kambini.

Aidha, wajumbe hao wameahidiwa zawadi maalum endapo Freeman Mbowe atashinda uchaguzi huo.

Usiku wa leo, Freeman Mbowe anatarajiwa kutembelea kambi hizo na kuzungumza na wajumbe wake katika hatua ya mwisho ya kampeni.

Jambo TV imesambaza waandishi wake katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kufuatilia kwa karibu mwenendo wa uchaguzi huu wa CHADEMA, ambao umekuwa gumzo nchini.
 
wajumbe feki wa Lisu,
Lema ndio kawafungulia sasahivi kawajaza kwenye costa wapo HQ wanataka vitambulisho zoezi ambalo liliisha tangu saa10 jioni 🐒
 
Back
Top Bottom