Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Hebu msimkosee heshma Mbowe aiseee!Ukimuona anavyo kodoa yale malienge kwenye miwani utadhani ni mtu wa maana kabisa kumbe jitu la hovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu msimkosee heshma Mbowe aiseee!Ukimuona anavyo kodoa yale malienge kwenye miwani utadhani ni mtu wa maana kabisa kumbe jitu la hovyo kabisa
Hastaili heshima yoyote kwa aliyo yafanyaHebu msimkosee heshma Mbowe aiseee!
Hao ni ndugu kaka. A na BMkuu, bila shaka ana mpango wa kumng'oa Sa100 baada ya ushindi wa kesho.
Palipo na Mbowe weka jina la Abduli. Kifupi Mbowe akishinda CHADEMA itakuwa ni mojawapo ya ideological state apparatus kwa maslahi ya Mama Abduli.Uongo Mtupu.
Mbowe hawez mshinda LISSU .
Sindo maana wanawanyima Wapiga kura wa LISSU vitambulisho?.
Makengeza haifai.
Kinachoniuma mimi ni watu waliyopoteza uhai wao kwa kumwamini huyu Mzee! Kawahadaa watanganyika.
Ni hicho tu ndicho ambacho kinachoniuma.
Mwenyekiti aliyeenda gerezani ni tofauti kabisa na yule aliyerudi urahiani baada ya kwenda ikulu jioni ile! Kifupi Mbowe alishalipwa mafao ya maisha kufanya anachokifanya! Na utakuta kwenye uchaguzi mkuu akapewa wabunge majimbo kadhaa kuwahadaa wananchi walalahoi!Duuh, kwa nini anatumia nguvu nyingi sana? Ni huo uenyekiti tuu? Au kuna jingine?
Tunamtaka huyo huyo anaeongea sana ili awasute CCM kila iitwapo leo!Lissu ana maneno mengi mno😕
Mbowe ndiye tunayemtaka kukinusuru CHAMA na siasa za visasi.Kambi ya kampeni ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe anayewania kutetea kiti chake, imeripotiwa kudhibiti kura zaidi ya 700 za wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku jumla ya wajumbe wote wanatarajiwa kufikia 1328.
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika kesho, tarehe 21 Januari 2025, katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya timu ya kampeni ya Mbowe, wajumbe hao halali na wenye sifa za kupiga kura wamewekwa katika kambi mbalimbali jijini Dar es Salaam, zikiwemo maeneo ya Ubungo, Manzese, na Buguruni.
Hatua hiyo inalenga kuhakikisha uaminifu wa wajumbe hao katika kumpigia kura mgombea huyo.
Mmoja wa wajumbe walioko kwenye moja ya kambi hizo ameithibitishia Jambo TV kupitia ujumbe mfupi wa maandishi kwamba wapo chini ya uangalizi maalum, na hawaruhusiwi kutoka nje ya maeneo waliyopo.
Ameeleza kuwa ulinzi umeimarishwa na unasimamiwa na moja ya kampuni za ulinzi jijini Dar es Salaam.
Chanzo hicho kiliongeza kuwa huduma zote, ikiwemo chakula, malazi, na vinywaji, zinatolewa bure kwa wajumbe walioko kambini.
Aidha, wajumbe hao wameahidiwa zawadi maalum endapo Freeman Mbowe atashinda uchaguzi huo.
Usiku wa leo, Freeman Mbowe anatarajiwa kutembelea kambi hizo na kuzungumza na wajumbe wake katika hatua ya mwisho ya kampeni.
Jambo TV imesambaza waandishi wake katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kufuatilia kwa karibu mwenendo wa uchaguzi huu wa CHADEMA, ambao umekuwa gumzo nchini.