johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani Meddy huko aliko anajuta 🐼Sina chama, bali ni mzalendo na napenda haki.
Niwe mkweli, matendo anayoyafanya huyu Mzee Mbowe na watu walimwamini na wengine kutoa uhai wao kumbe anawahadaa!
Naumia sana na kinaniumiza sana! Watanganyika wamemfanyia nini mpaka anawafanyia hivi?
Sitaki kuandika Kiswahili! Ila huu ndiyo msimamo wangu!Nadhani Meddy huko aliko anajuta 🐼
Makengeza na akili ni mbingu na ardhiHuyu mchanga Hana tofaut na mrema
Yaaan anatumia kila njia kubak kwenye madaraka
😹😹😹Ukimuona anavyo kodoa yale malienge kwenye miwani utadhani ni mtu wa maana kabisa kumbe jitu la hovyo kabisa
Tafsir: Trump akimshinda Kamala Harris, mimi nahamia Burundi.Sitaki kuandika Kiswahili! Ila huu ndiyo msimamo wangu!
لو كنت أمتلك السلطة، لأمرت بمعاقبة أشخاص مثل هذا الرجل المسن الذي يخدع الناس، وإذا وصل الأمر إلى فقدان حياتهم، فإنه سيُحكم عليه بالإعدام!
Duuh, kwa nini anatumia nguvu nyingi sana? Ni huo uenyekiti tuu? Au kuna jingine?Kambi ya kampeni ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe anayewania kutetea kiti chake, imeripotiwa kudhibiti kura zaidi ya 700 za wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku jumla ya wajumbe wote wanatarajiwa kufikia 1328.
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika kesho, tarehe 21 Januari 2025, katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya timu ya kampeni ya Mbowe, wajumbe hao halali na wenye sifa za kupiga kura wamewekwa katika kambi mbalimbali jijini Dar es Salaam, zikiwemo maeneo ya Ubungo, Manzese, na Buguruni.
Hatua hiyo inalenga kuhakikisha uaminifu wa wajumbe hao katika kumpigia kura mgombea huyo.
Mmoja wa wajumbe walioko kwenye moja ya kambi hizo ameithibitishia Jambo TV kupitia ujumbe mfupi wa maandishi kwamba wapo chini ya uangalizi maalum, na hawaruhusiwi kutoka nje ya maeneo waliyopo.
Ameeleza kuwa ulinzi umeimarishwa na unasimamiwa na moja ya kampuni za ulinzi jijini Dar es Salaam.
Chanzo hicho kiliongeza kuwa huduma zote, ikiwemo chakula, malazi, na vinywaji, zinatolewa bure kwa wajumbe walioko kambini.
Aidha, wajumbe hao wameahidiwa zawadi maalum endapo Freeman Mbowe atashinda uchaguzi huo.
Usiku wa leo, Freeman Mbowe anatarajiwa kutembelea kambi hizo na kuzungumza na wajumbe wake katika hatua ya mwisho ya kampeni.
Jambo TV imesambaza waandishi wake katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kufuatilia kwa karibu mwenendo wa uchaguzi huu wa CHADEMA, ambao umekuwa gumzo nchini.
Kama mwenzio Akiwa huko Canada anavyokunja kiuno sioWewe kunja matako
Ah wapi!Tafsir: Trump akimshinda Kamala Harris, mimi nahamia Burundi.
Mkuu, bila shaka ana mpango wa kumng'oa Sa100 baada ya ushindi wa kesho.Duuh, kwa nini anatumia nguvu nyingi sana? Ni huo uenyekiti tuu? Au kuna jingine?
Duuidu babudubudubadububududuDuh aiseee
Hata David Guetta, Andy Rajiolina, Kalogeres hawapaswi kuaminiwa!!???Ni Wajinga tu wanaowaamini madj popote duniani 😂
Sasa Mbowe Sultan akiwa yeye mwenyekiti anafanya upinzani gani kwa Sa100 yaan ana nini zaidi ya kumuunga mkono sa100?Mbowe ndo kiongozi sahihi kwa chama kinachojifia CHADEMA
Msifike huko jaman kumkosoa personality yakeUkimuona anavyo kodoa yale malienge kwenye miwani utadhani ni mtu wa maana kabisa kumbe jitu la hovyo kabisa
Kafirwe huko shoga mchovu weweKama mwenzio Akiwa huko Canada anavyokunja kiuno sio
Nakosoa vyovyote ninavyo takaMsifike huko jaman kumkosoa personality yake
Mkosoeni kwa Matendo yake