Pre GE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uongo Mtupu.

Mbowe hawez mshinda LISSU .

Sindo maana wanawanyima Wapiga kura wa LISSU vitambulisho?.

Makengeza haifai.
Palipo na Mbowe weka jina la Abduli. Kifupi Mbowe akishinda CHADEMA itakuwa ni mojawapo ya ideological state apparatus kwa maslahi ya Mama Abduli.
 
Sie wa CHAUMA tunawachabo tu huku tunapiga ubwabwa wetu na maharage...
 
Duuh, kwa nini anatumia nguvu nyingi sana? Ni huo uenyekiti tuu? Au kuna jingine?
Mwenyekiti aliyeenda gerezani ni tofauti kabisa na yule aliyerudi urahiani baada ya kwenda ikulu jioni ile! Kifupi Mbowe alishalipwa mafao ya maisha kufanya anachokifanya! Na utakuta kwenye uchaguzi mkuu akapewa wabunge majimbo kadhaa kuwahadaa wananchi walalahoi!
 
Mbowe ndiye tunayemtaka kukinusuru CHAMA na siasa za visasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…