Lema anatakiwa aelezwe Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,141
Reaction score
24,449
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
 
Lema akitaka kuhakikisha simba na yanga ni zaidi ya chadema aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa chadema wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna...
Mbona mwanza walichukuliwa wa simba ? Au umesahau?
 
Soma uzi..wafuasi wa chadema ni ndezi za kwenye mtandao...
Kwa hiyo unataka waanzishe vurugu ili mpate sababu,? Wenzenu wanapambana kupigania maslahi yao ndani serikali kupitia mgongo wa CCM ndio maana hawataki kitu kibadilike na ninyi mnakubali kutumika nao bila kujijua,unatoa mishipa ukidhani unapigania CCM kumbe unatumika kulinda mali za wenye CCM walizo chuma jwa wizi miaka na miaka.
 
HIzo ni hasira zako zilizojaa uoga ndani yake...
 
Sina hasira bro ,mimi ni muelimishaji msijidanganye kwamba mnakipigania chama cha mapinduzi, kuna watu wamewekeza huko na wana dili chafu za kuiba fedha za umma na hawako tayari kukubali mabadiliko maana wanajua mufumo ikibadilika itabadilisha hadi mirija yao hivyo wapo huko na wamejificha humo ndani ya chama wanapambana kutengeneza watu wa kuwapigania kupitia mgongo wa CCM .
 
Walichukuliwa kariakoo kweupe au mtandaoni mnakojificha wamechukuliwa usiku kwa kutekwa bila wafuasi wao..uliona juzi kati yanga walivyopiga kambi taifa kufuatilia mkutano wa derby yao na simba...
Wote walichukuliwa kweupeee
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
kipara kipya umenishangaza sana mzee mwenzangu! Hao Simba au Yanga hawawezi kuondoa Serikali madarakani kama TFF tu hawaiwezi wanabakia na mikwala ya HATUCHEZI! huku watacheza.
Lakini chama cha siasa hata kama unaona ni wanyonge kwa sababu kiongozi wao anachukuliwa na hawafanyi fujo, huko ni kuheshimu sheria tuu maana mfano Chadema ikiamua kujigeuza M23 unadhani kutakuwaje nchi hii?
Nilitegemea kuona viongozi wa Chadema wanasifiwa kuwa na busara lakini mna wadharau, haya shauri yenu!
 
Nimekusoma vyema nimeheshimu mchango wako ni kweli usemacho ni lazima sheria ziheshimiwe lakini ninachokwazika mimi ni pale wanapo ahidi kuwa watakinukisha na kumjaza upepo muhusika ukifika wakati wa ukweli wote wanabaki kuwa maripota wa kujitegemea...
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
We can chew gum and walk.

Mbona Uingereza wana ushabiki wa mpira mpaka football hooliganism, na bado kwenye kuwekana sawa serikalini wanawekana sawa vizuri tu?

Lema alitakiwa kujua kujipenyeza kwenye kitu kinachopendwa na watu na kukitumia kwa faida ya ajenda yake. Si kutaka kubomoa ushabiki wa mpira ambao una mizizi mirefu kuanzia kabla hata ya uhuru.

Nyerere hakuwa mpenzi wa mpira, michezo pekee aliyocheza ni darts, bao na pool. Lakini alielewa umuhimu wa kutumia klabu za michezo kwenye harakati za TANU.

Na hapo ndipo CCM inapovishinda hivi vyama vya upinzani.

You are not supposed to alienate the people you are fighting for?
 
Sina hasira bro ,mimi ni muelimishaji msijidanganye kwamba mnakipigania chama cha mapinduzi, kuna watu wamewekeza huko na wana dili chafu za kuiba fedha za umma na hawako tayari kukubali mabadiliko maana wanajua mufumo ikibadilika itabadilisha hadi mirija yao hivyo wapo huko na wamejificha humo ndani ya chama wanapambana kutengeneza watu wa kuwapigania kupitia mgongo wa CCM .
Una hakika hao tone tone wakichukua nchi mpaka waje wavimbiwe wakukumbuke wewe ni lini bora zimwi likujualo kuliko hayo mazimwi mapya hawajapewa nchi wameanza kutafunana wenyewe kwa wrnyewe!
 
Back
Top Bottom