Lema anatakiwa aelezwe Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA

Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Mbwa wewe kwahiyo yanga na Simba zitatoa rais na kuundaa serikali?
 
We can chew gum and walk.

Mbona Uingereza wana ushabiki wa mpira mpaka football hooliganism, na bado kwenye kuwekana sawa serikalini wanawekana sawa vizuri tu?

Lema alitakiwa kujua kujipenyeza kwenye kitu kinachopendwa na watu na kukitumia kwa faida ya ajenda yake. Si kutaka kubomoa ushabiki wa mpira ambao una mizizi mirefu kuanzia kabla hata ya uhuru.

Nyerere hakuwa mpenzi wa mpira, michezo pekee aliyocheza ni darts, bao na pool. Lakini alielewa umuhimu wa kutumia klabu za michezo kwenye harakati za TANU.

Na hapo ndipo CCM inapovishinda hivi vyama vya upinzani.

You are not supposed to alienate the people you are fighting for?
Tungoje utabiri wake zife hizo timu mbili maana ndio kikwazo cha chadema kuchukua nchi...
 
Kwenye vitabu vya Shivji na wenzake kuna sehemu wameandika jinsi Nyerere alivyopewa ushauri na washauri wake wa siasa kwamba maduka yote yataifishwe, hata maduka madogo ya Uswahilini. Huo ulikuwa ushauri wa wasomi wa uchumi. Lakini Nyerere akautafakari ushauri huo, akaona apate mawazo zaidi. Akamtafuta Mzee mmoja wa Yanga aliyekuwa CCM anaitwa Tabu Mangala. Nyerere akamuuliza Mzee Tabu Mangala, vipi, tutaifishe maduka ya watu ya Uswahilini? Mzee Tabu Mangala akasema chonde chonde Baba usifanye hivyo, hao wasomi hawajui tunavyoishi Uswahilini, sisi ndio tunajua.

Hapo utaona klabu ya Yanga ilitumika kama sehemu ya CCM na serikali kupata habari za chini kabisa kwa wananchi. Na Nyerere alikuwa na washauri wake rasmi wa uchuni, lakini pia alitumia wazee wa CCM waliokuwa kwenye hizi klabu kujua wananchi wanataka nini.

Mwishowe Nyerere aliuacha ushauri wa washauri wake wasomi, akaufuata ushauri wa Mzee Tabu Mangala.

Sasa kama Lema hajaona kuwa Simba na Yanga ni sehemu za kupata pulse ya wananchi, anakuwa hajajua siasa za Tanzania bado.
 
Mungu yupo muda wote, anatuona kuanzia machoni petu mpaka mioyoni mwetu.
Hakika atamlipa kila mtu kulingana na kazi yake.
Mungu uibariki Tanzania.
 
Kwenye vitabu vya Shivji na wenzake kuna sehemu wameandika jinsi Nyerere alivyopewa ushauri na washauri wake wa siasa kwamba maduka yote yataifishwe, hata maduka madogo ya Uswahilini. Huo ulikuwa ushauri wa wasomi wa uchumi. Lakini Nyerere akautafakari ushauri huo, akaona apate mawazo zaidi. Akamtafuta Mzee mmoja wa Yanga aliyekuwa CCM anaitwa Tabu Mangala. Nyerere akamuuliza Mzee Tabu Mangala, vipi, tutaifishe maduka ya watu ya Uswahilini? Mzee Tabu Mangala akasema chonde chonde Baba usifanye hivyo, hao wasomi hawajui tunavyoishi Uswahilini, sisi ndio tunajua.

Hapo utaona klabu ya Yanga ilitumika kama sehemu ya CCM na serikali kupata habari za chini kabisa kwa wananchi. Na Nyerere alikuwa na washauri wake rasmi wa uchuni, lakini pia alitumia wazee wa CCM waliokuwa kwenye hizi klabu kujua wananchi wanataka nini.

Mwishowe Nyerere aliuacha ushauri wa washauri wake wasomi, akaufuata ushauri wa Mzee Tabu Mangala.

Sasa kama Lema hajaona kuwa Simba na Yanga ni sehemu za kupata pulse ya wananchi, anakuwa hajajua siasa za Tanzania bado.
Ningependa siku moja moja unatoa darasa mujarabu kama hili vijana wengi watakuelewa na kuacha mihemko...
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Yanga ni Simba zinatumika na magacholi kupumbaza watanzania. Haya magacholi yanayokwapua mali zetu. Kna siku watachomwa moto.
 
Simba na Yanga ni project ya CCM kuwapumbaza Watanganyika wawe wanajikita kwenye mijadala ya mpira huku mafisadi ya CCM yakiendelea kuifukarisha nchi kwa kugawa rasilimali zake kwa mabeberu.
 
Mo alishawai tekwa sio

Hata wewekamashabik
wa yanga ukisikia kiongozi wako kakamatwa na polisi anashikiliwa utafanya nini,
 
Simba na Yanga ni project ya CCM kuwapumbaza Watanganyika wawe wanajikita kwenye mijadala ya mpira huku mafisadi ya CCM yakiendelea kuifukarisha nchi kwa kugawa rasilimali zake kwa mabeberu.
Upuuzi mpira ni ajira kama nyingine kama yeyel ema ni mlevi na mzinifu wengine ulevi wao ni mpira..
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Ni taasisi za CCM za kutengen3za mazezeta.

Wajinga wape chakula wale washibe na then watafutie Burudani,

Simba na Yanga ni janga
 
Fikra mfu ipo siku walikuomba pesa ya kiingilio au ya kula mpira una mambo mengi zaidi ya siasa muulize tarimba abasi..idd azzan..Mo dewji Marehemu gula mali wote hao walizitumia simba na yanga kufanikisha siasa..hivyo lema anatakiwa aelezwe ukweli tu..
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Wewe ni mjinga! Badala ya kuhimiza watu wajadili maisha yao na vizazi vyao kutwa kucha watu wanajadili Simba na Yanga!

Michezo ni muhimu lakini maisha ya jamii ni muhimu zaidi!
 
Jitundike soccer utabaki kuwa mchezo pendwa ndio maana una shirikisho lake lina nguvu kushinda umoja wa mataifa...ivory coast waasi waliwahi weka silaha chini wapishe timu ya taifa ikiongozwa na didier drogba...
 
Yanga ni Simba zinatumika na magacholi kupumbaza watanzania. Haya magacholi yanayokwapua mali zetu. Kna siku watachomwa moto.
Mkuu,

Kama hilo ni kweli, huoni kwamba hiyo ni challenge kwa Lema na CHADEMA kujiingiza katika hivi vilabu na wao wapenyeze ajenda zao, wawaondoe hao Magabacholi?

Yanga na Simba ni constituency kubwa sana hiyo. Kusema tu zinatumika na Magabacholi na kuzisusia ni sawa na kusema watu wa Dar wanatumika na Magabacholi hivyo hatutajihusisha nao.

Mwanasiasa anatakiwa ajue mbinu za kupigania ajenda yake iongeze ushawishi sehemu nyingi zaidi.

Mwanasiasa hatakiwi kuisusia constituency muhimu kama ya watu wanaopenda michezo.
 
Ukitaka kujua simba na yanga zina mbumbuu wengi leo mchezaji akifuga ni mkali mara ajengewe sanamu , kesho akikosa goli,kahongwa mara kocha anamekosea kumpanga🚮
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Basi na pia ccm waelezwe kuwa Kipara kipya ni zaidi ya ccm.
 
Mkuu,

Kama hilo ni kweli, huoni kwamba hiyo ni challenge kwa Lema na CHADEMA kujiingiza katika hivi vilabu na wao wapenyeze ajenda zao, wawaondoe hao Magabacholi?

Yanga na Simba ni constituency kubwa sana hiyo. Kusema tu zinatumika na Magabacholi na kuzisusia ni sawa na kusema watu wa Dar wanatumika na Magabacholi hivyo hatutajihusisha nao.

Mwanasiasa anatakiwa ajue mbinu za kupigania ajenda yake iongeze ushawishi sehemu nyingi zaidi.

Mwanasiasa hatakiwi kuisusia constituency muhimu kama ya watu wanaopenda michezo.
Elimu hii unayotoa mkuu iwafikie vijana wa mihemko!
 
Back
Top Bottom