Lema anatakiwa aelezwe Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA

Lema anatakiwa aelezwe Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA

Ukiachilia mbali siasa,mimi.natamani ningefuta kabisa ligi ni mipira wa miguu apa bongo.imagine watu wanaanza kudiscuss mpira asubuh ata kazi hawafanyi???watu hasa wanaume wanashindwa kudiscuss ni jinsi gani watajiletea maendeleo wanadiscuss mamipira masaa yote???naamini mabadiliko yanakuja na uyo Daudi aliechaguliwa na Mungu atafutilia mbali ligi na mpira
Uki-discuss wewe kujiletea maendeleo inatosha jiulize baada ya pale wanakula wapi na kulala wapi?
 
Daaah kweli watu wanajizima data,hata MWEZI haujaisha Alikomwe si alikamatwa akakaa ndani Singida?
Hao wa makolo si walikatwa mwanza?
Achana nayo Kanjibhai si alitekwa wanathimba walifanya nini?
Na vipi kuhusu manji aliyewekwaga rumande akaja akatoka kama mtu wa kale wanajangwani walikuwa hawajafika nchini?,kuna namna akili yako inawaza makandokando 'bothi '
Soma mada uelewe usikimbilie kuandika tu Mo alitekwa peke yake nani alijua zaidi ya CCTV Camera...
 
Hivi brother hadi sasa hujagundua kuwa WAMESHAKINUKISHA?
Yale ya Kariakoo leo ndio hivyo tena kukinukisha! Na wasipojielewa hao watawala, nchi hii isiyo kuwa na ajira thabiti ya vijana basi mambo yanaanza hivihivi kidogo kidogo mwisho ni taabu.
General El Bashir wa Sudan hakuondolewa na jeshi bali raia tena wakiongozwa na mwahaharakati mdogo wa kike Alla Salah aliyekuwa anasomea Uhandisi.
Kuna kitu cha kutisha kinakuja brother, ila kwa vile JF never die kumbuka post hii na utakuja kuniuliza ulikuwa ni UTABIRI au NILIJUA?
Hakuna kitu pale mwisho wa siku watu wameondoka naye hatujaona hata kofia ya polisi kuanguka wafuasi kila mmoja ana kazi ya kuchukua video kwenye simu wafuasi na vijana kama ndio wale wa kuwategemea walimnde mwenyekiti mmekwisha bora ya wale wanawake wa bawacha wanaovua nguo na kugaragara kwenye vumbi wanaonyesha kitu....
 
Na manji aliyeitwa aende mwenyewe kituoni mbele ya vyombo vya habari je?
Unafosi ueleweke ila umepuyanga, Simba na yanga ni moja ya upuuzi unaopumbaza watanzania wakashindwa kuwaza maendeleo,ndi maana maskini wanazidi ongezeka siku hadi siku
 
Kwenda mwenyewe ndio kuchukuliwa?
Samahani kidogo hivi ubongo upo sawa kabisa,au unataka kathread kako kaende tu viral?
Kwa hiyo ulitaka wafanyaje wapigane ili mseme wameingilia kazi ya polisi?
Kwa taarifa yako watu saa hizi wana plan B nadhani umeona kinachoendelea mikoani.
Kama hujui kaa kimya
 
Unafosi ueleweke ila umepuyanga, Simba na yanga ni moja ya upuuzi unaopumbaza watanzania wakashindwa kuwaza maendeleo,ndi maana maskini wanazidi ongezeka siku hadi siku
Upo sahihi ndio maana hizi timu mbili ukienda sehemu kama mbeya zina matawi mengi kuliko chadema je manchester united na arsenal pia zimeletwa kuwapumbaza waingereza mtumie vichwa vyenu sio kukariri kama kasuku wa kihindi...
 
Samahani kidogo hivi ubongo upo sawa kabisa,au unataka kathread kako kaende tu viral?
Kwa hiyo ulitaka wafanyaje wapigane ili mseme wameingilia kazi ya polisi?
Kwa taarifa yako watu saa hizi wana plan B nadhani umeona kinachoendelea mikoani.
Kama hujui kaa kimya
Niache nimefunga mada na wewe na huo upuuzi wako dizaini yako ndio wale mpaka muda huu unaamini vilema wanatembea na wafu wanafufuliwa majukwaani...
 
Simba na Yanga ni project ya CCM kuwapumbaza Watanganyika wawe wanajikita kwenye mijadala ya mpira huku mafisadi ya CCM yakiendelea kuifukarisha nchi kwa kugawa rasilimali zake kwa mabeberu.
Simba na yanga ndio kitu pekee kinachowakutanisha pamoja watanzania dk 90 wakawa washindani baada ya hapo maisha yanaendelea sio hayo mavyama yenu ya siasa mnahubiri uhasama na kuchinjana tu....
 
Simba na yanga ndio kitu pekee kinachowakutanisha pamoja watanzania dk 90 wakawa washindani baada ya hapo maisha yanaendelea sio hayo mavyama yenu ya siasa mnahubiri uhasama na kuchinjana tu....
Watu kutwa nzima kwenye vijiwe wanabishania Simba na Yanga tu wewe unasema dakika tisini. Unajua kwa nini mchakato wa reformation ya Simba unakwama hadi leo ? Vilabu hivi vinatumika kisiasa kuwapumbaza mamilioni ya watanganyika wasiwe na muda wa kuhoji mambo ya msingi ya mustakabali wa nchi yao wao maisha yao ni Simba na Yanga tu. Wewe unaponda kila jambo linalotoka kwa Chadema yaani una chuki iliyopiliiza kiasi inakutoa akili kana kwamba uko programmed kupinga kila kitu kinachotoka Chadema hata kama unajua kuwa ni la kweli.
 
Mimi ni Chadema mpaka kufa na zaidi yako na lema ila nilipinga Chadema 2015 alipochukuliwa Lowassa ambaye tuliaminishwa ni fisadi anayeogopwa kama ukoma tukaletewa awe mgombea wetu..pale ndipo nilipoachana na huo uhanithi wa kuwaamini wanasiasa wenye kuabudu matumbo yao...ili ujue wanasiasa ni wanafiq haswa wa chadema hata Mbowe wamemgeuka na kuwa adui yao na kumzushia kila baya ili mradi walikuwa wachukue kiti...
 
Attachments

  • 20240213_065335.jpg
    20240213_065335.jpg
    62.1 KB · Views: 15
Mimi ni Chadema mpaka kufa na zaidi yako na lema ila nilipinga Chadema 2015 alipochukuliwa Lowassa ambaye tuliaminishwa ni fisadi anayeogopwa kama ukoma tukaletewa awe mgombea wetu..pale ndipo nilipoachana na huo uhanithi wa kuwaamini wanasiasa wenye kuabudu matumbo yao...ili ujue wanasiasa ni wanafiq haswa wa chadema hata Mbowe wamemgeuka na kuwa adui yao na kumzushia kila baya ili mradi walikuwa wachukue kiti...
Wewe ni mboga mboga na una chuki zisizo na msingi. Hivi madai ya Chadema kutaka uwanja sawa wa kufanya siasa nalo huoni kama ni la msingi? Hivi kwa mtu mwenye akili timamu anakubaliana na kilichofanyika 2019,2020 na November 2024? Kama kweli Samia anapendwa na amefanya mengi kwa nini anaogopa uchaguzi huru na wa haki? Madai ya Chadema siyo kwa manufaa yao pekee bali kwa hatima ya siasa za nchi kuwe na uchaguzi unaoaminika na kuheshimika. Inapendeza uchaguzi huru na haki anayeshindwa anakubali kiroho safi watu wanapeana mikono kusubiri miaka mitano tena.
 
Simba na yanga kuwapoteza vijana vision zao. Wanashabikia vitu ambayo haviwasaidii chochote ktk maisha yao
Haina tofauti na kushabikia vita ya palestina na israel watu wanamalizwa huna chochote cha kuzuia!
 
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..

Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Si Bashite alimchukua Mo mda ule wa Magu na alimvalisha khanga, ulifamya nini?
 
Back
Top Bottom