kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Mbona mwanza walichukuliwa wa simba ? Au umesahau?Lema akitaka kuhakikisha simba na yanga ni zaidi ya chadema aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa chadema wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna...
Wapi...Mbona mwanza walichukuliwa wa simba ? Au umesahau?
Mwanza tena hata miezi miwili hajaishaWapi...
Na kipara Hana Nywele, Sasa itakuaje ?Akili ni nywele
Soma uzi..wafuasi wa chadema ni ndezi za kwenye mtandao...Mwanza tena hata miezi miwili hajaisha
Waende central muda huu wapo busy kutumiana clip za kiongozi kukamatwa..Na kipara Hana Nywele, Sasa itakuaje ?
Kwa hiyo unataka waanzishe vurugu ili mpate sababu,? Wenzenu wanapambana kupigania maslahi yao ndani serikali kupitia mgongo wa CCM ndio maana hawataki kitu kibadilike na ninyi mnakubali kutumika nao bila kujijua,unatoa mishipa ukidhani unapigania CCM kumbe unatumika kulinda mali za wenye CCM walizo chuma jwa wizi miaka na miaka.Soma uzi..wafuasi wa chadema ni ndezi za kwenye mtandao...
HIzo ni hasira zako zilizojaa uoga ndani yake...Kwa hiyo unataka waanzishe vurugu ili mpate sababu,? Wenzenu wanapambana kupigania maslahi yao ndani serikali kupitia mgongo wa CCM ndio maana hawataki kitu kibadilike na ninyi mnakubali kutumika nao bila kujijua,unatoa mishipa ukidhani unapigania CCM kumbe unatumika kulinda mali za wenye CCM walizo chuma jwa wizi miaka na miaka.
Walichukuliwa kariakoo kweupe au mtandaoni mnakojificha wamechukuliwa usiku kwa kutekwa bila wafuasi wao..uliona juzi kati yanga walivyopiga kambi taifa kufuatilia mkutano wa derby yao na simba...Mbona Manji mdhamini wa Yanga alifilisiwa na kuwekwa ndani? Mo alitekwa na kuvalishwa kanga
Sina hasira bro ,mimi ni muelimishaji msijidanganye kwamba mnakipigania chama cha mapinduzi, kuna watu wamewekeza huko na wana dili chafu za kuiba fedha za umma na hawako tayari kukubali mabadiliko maana wanajua mufumo ikibadilika itabadilisha hadi mirija yao hivyo wapo huko na wamejificha humo ndani ya chama wanapambana kutengeneza watu wa kuwapigania kupitia mgongo wa CCM .HIzo ni hasira zako zilizojaa uoga ndani yake...
Wote walichukuliwa kweupeeeWalichukuliwa kariakoo kweupe au mtandaoni mnakojificha wamechukuliwa usiku kwa kutekwa bila wafuasi wao..uliona juzi kati yanga walivyopiga kambi taifa kufuatilia mkutano wa derby yao na simba...
kipara kipya umenishangaza sana mzee mwenzangu! Hao Simba au Yanga hawawezi kuondoa Serikali madarakani kama TFF tu hawaiwezi wanabakia na mikwala ya HATUCHEZI! huku watacheza.Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..
Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja
Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Nimekusoma vyema nimeheshimu mchango wako ni kweli usemacho ni lazima sheria ziheshimiwe lakini ninachokwazika mimi ni pale wanapo ahidi kuwa watakinukisha na kumjaza upepo muhusika ukifika wakati wa ukweli wote wanabaki kuwa maripota wa kujitegemea...kipara kipya umenishangaza sana mzee mwenzangu! Hao Simba au Yanga hawawezi kuondoa Serikali madarakani kama TFF tu hawaiwezi wanabakia na mikwala ya HATUCHEZI! huku watacheza.
Lakini chama cha siasa hata kama unaona ni wanyonge kwa sababu kiongozi wao anachukuliwa na hawafanyi fujo, huko ni kuheshimu sheria tuu maana mfano Chadema ikiamua kujigeuza M23 unadhani kutakuwaje nchi hii?
Nilitegemea kuona viongozi wa Chadema wanasifiwa kuwa na busara lakini mna wadharau, haya shauri yenu!
We can chew gum and walk.Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..
Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja
Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Una hakika hao tone tone wakichukua nchi mpaka waje wavimbiwe wakukumbuke wewe ni lini bora zimwi likujualo kuliko hayo mazimwi mapya hawajapewa nchi wameanza kutafunana wenyewe kwa wrnyewe!Sina hasira bro ,mimi ni muelimishaji msijidanganye kwamba mnakipigania chama cha mapinduzi, kuna watu wamewekeza huko na wana dili chafu za kuiba fedha za umma na hawako tayari kukubali mabadiliko maana wanajua mufumo ikibadilika itabadilisha hadi mirija yao hivyo wapo huko na wamejificha humo ndani ya chama wanapambana kutengeneza watu wa kuwapigania kupitia mgongo wa CCM .