Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Lema ni kirusi hatariUnapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa Heche anayeshambuliwa na Kila siku.
Ukiona mwanajeshi anaamua kupambana vita vyake binafsi bila amri za makamanda huyo hafai atasababisha wenzake kushambuliwa na ndicho alichofanya lema
Ni kikao kipi Cha chama kilichompa lema maagizo ya kuongea makamu Rais Nchimbi .
Kwa sasa wanamtandao wameshajua Siri nyingi za kambi kisa muoga mmoja
Hakuna asiyejua vita ni Kali na MAADUI ni wakatili kuliko Hitler lakini huwezi kuonyesha uoga hadharani kama askari wa mstari wa mbele
Lisu alielezea mapema changamoto kubwa watakazokutana nazo kwenye mapambano ya kudai haki.
Kama mambo mengine yanajadiliwa kwenye vikao vya ndani wanaona kabisa vita imeshawalemea lakini huwezi kutangaza hadharani.
Ukweli ni kwamba MAADUI wa haki wamebanwa kama paka kwenye Kona na wamekuwa hatari zaidi lakini sio sawa kuonyesha uoga kwenye mapambano makali.
Lema angetafuta namna kuondoka kwenye mstari wa mbele kimya kimya bila kutaka kutisha wengine.
Lema amewahi kusema DHAMBI kubwa kuliko zote ni uoga lakini Leo ametenda DHAMBI hiyo hadharani.
Ukishakubali kuwa mstari wa mbele umeamua mambo mawili kufa au kupona .
Vile vile hata fursa zikitokea nyie ndo wa kwanza kufaidi hivyo
Lema ungesubiri vikao vyenu uelezea uoga wako na kukata kwako tamaa kwenye vikao vya ndani sio kutangaza hadharani
Ulichofanya hakina busara yoyote zaidi ya ujinga na uoga utaohatarisha wenzako kushambuliwa vibaya .
Umetoa code nyingi sana Kwa upande wa pili watakazotumia kujua Nini mnachokiogopa Kwa sasa
Uzuri upande wa pili wanaangalia muoga Ili watumie
Katiba mpya utawala wa haki na kidemokrasia ni Kwa faida ya Taifa Zima sio chadema Wala ccm tu
Haswa Kwa wakati huu hapaswi kuwa mstari wa mbeleLema ni kirusi hatari
Umeonyesha uoga hadharani Kwa upande wa piliNipo namsikiliza Dr slaa hapa kwa kweli Lema ametuangusha sana sanaa
Lema kazingua big Time big time amegeuka kuwa adolescence
Ni wazi kua lema hampendi heche... Lema KAONYESHA immaturity ya hali ya juuuUmeonyesha uoga hadharani Kwa upande wa pili
Mstari wa mbele kajipeleka au kapelekwa?Mstari wa mbele sio kuweka watu waoga anaweza KUPIGA hata kelele ovyo Kwa kuchanganyikiwa adui akatambua location
Pengine Kuna mambo ya Siri hutuyajuiPamoja na kuwa kwenye siasa kwa miaka mingi lakini bado ameonyesha imarturity ya hali ya juu na uwezo mdogo wa kuvumilia vitu. siyo kila kitu ni cha kujibiwa.
Nachokiona ni uoga umemuingia na kukata tamaaLema amenunuliwa kwa vipande themanini vya fedha!

Alijipeleka mwenyewe UONGOZI ukampa hiyo nafasi hivyo wajibu wa uongozi wa chadema kumuweka pembeni kamanda muoga wa mstari wa mbeleMstari wa mbele kajipeleka au kapelekwa?
Mi Lema nilimfuta kwenye watu wenye akili timamu toka alip ropoka kuwa Mama ntilie,bodboda na wengine waangaikaji nikamtoa mazima kwenye akili yangu na sijui alitaka kila mtu awe jambazi kama yeye.Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa Heche anayeshambuliwa na Kila siku.
Ukiona mwanajeshi anaamua kupambana vita vyake binafsi bila amri za makamanda huyo hafai atasababisha wenzake kushambuliwa na ndicho alichofanya lema
Ni kikao kipi Cha chama kilichompa lema maagizo ya kuongea makamu Rais Nchimbi .
Kwa sasa wanamtandao wameshajua Siri nyingi za kambi kisa muoga mmoja
Hakuna asiyejua vita ni Kali na MAADUI ni wakatili kuliko Hitler lakini huwezi kuonyesha uoga hadharani kama askari wa mstari wa mbele
Lisu alielezea mapema changamoto kubwa watakazokutana nazo kwenye mapambano ya kudai haki.
Kama mambo mengine yanajadiliwa kwenye vikao vya ndani wanaona kabisa vita imeshawalemea lakini huwezi kutangaza hadharani.
Ukweli ni kwamba MAADUI wa haki wamebanwa kama paka kwenye Kona na wamekuwa hatari zaidi lakini sio sawa kuonyesha uoga kwenye mapambano makali.
Lema angetafuta namna kuondoka kwenye mstari wa mbele kimya kimya bila kutaka kutisha wengine.
Lema amewahi kusema DHAMBI kubwa kuliko zote ni uoga lakini Leo ametenda DHAMBI hiyo hadharani.
Ukishakubali kuwa mstari wa mbele umeamua mambo mawili kufa au kupona .
Vile vile hata fursa zikitokea nyie ndo wa kwanza kufaidi hivyo
Lema ungesubiri vikao vyenu uelezea uoga wako na kukata kwako tamaa kwenye vikao vya ndani sio kutangaza hadharani
Ulichofanya hakina busara yoyote zaidi ya ujinga na uoga utaohatarisha wenzako kushambuliwa vibaya .
Umetoa code nyingi sana Kwa upande wa pili watakazotumia kujua Nini mnachokiogopa Kwa sasa
Uzuri upande wa pili wanaangalia muoga Ili watumie
Katiba mpya utawala wa haki na kidemokrasia ni Kwa faida ya Taifa Zima sio chadema Wala ccm tu
Ni kweli alikosea kutukana kazi za watu zinazowapa kipato Cha familia zaoMi Lema nilimfuta kwenye watu wenye akili timamu toka alip ropoka kuwa Mama ntilie,bodboda na wengine waangaikaji nikamtoa mazima kwenye akili yangu na sijui alitaka kila mtu awe jambazi kama yeye.