Amani na Upendo
Senior Member
- May 5, 2012
- 124
- 206
Chadema ya Mbowe ilikuwa ni Chama feki cha Upinzani.Mange amefanikiwa kuexposed matatizo ya kupambania mabadiliko vile jinsi akivyomtriger Lema kufanya ile press,Press imeonyesha Wanaotaka mabadiliko na wale ambao wanataka huu mfumo wa sasa uendelee,binafsi nasema CCM wamejifunga goli,Heche Msigwa wajipange,Lema amesahaweka wazi kinachokuja huko mbele.Usalama wa Wanachama,Viongozi wa Chama ndio Liwe jambo la Kwanza.Fact,
Hii chadema ya lissu na heche ni kazi na mabadiko ya kimfumo ndani ya nchi
Chadema ya mboe ilikuwa pesa kwanza
Hapo ndo lema anaona.maji yanazidi unga aondoke
Uoga au amenunuliwa kwa vipande vya fedhaNachokiona ni uoga umemuingia na kukata tamaa
Bado sijaamini kama amenunuliwa ila kama ni kweli ni hatari sana kwakeUoga au amenunuliwa kwa vipande vya fedha
Lema anataka kupita njia za vichochoroni kama Zit na MboeChadema ya Mbowe ilikuwa ni Chama feki cha Upinzani.Mange amefanikiwa kuexposed matatizo ya kupambania mabadiliko vile jinsi akivyomtriger Lema kufanya ile press,Press imeonyesha Wanaotaka mabadiliko na wale ambao wanataka huu mfumo wa sasa uendelee,binafsi nasema CCM wamejifunga goli,Heche Msigwa wajipange,Lema amesahaweka wazi kinachokuja huko mbele.Usalama wa Wanachama,Viongozi wa Chama ndio Liwe jambo la Kwanza.
Amekosea kwa makusudi. Ni msaliti. Amekula pesa za watesi.Pamoja na kuwa kwenye siasa kwa miaka mingi lakini bado ameonyesha imarturity ya hali ya juu na uwezo mdogo wa kuvumilia vitu. siyo kila kitu ni cha kujibiwa.
Ni kweli ilichukua muda mrefu sana kujua Mboe amelambishwa asaliAmekosea kwa makusudi. Ni msaliti. Amekula pesa za watesi.
Afukuzwe Kabisa .....mambl ya Kikekike apeleke huko anakokwwndaMstari wa mbele sio kuweka watu waoga anaweza KUPIGA hata kelele ovyo Kwa kuchanganyikiwa adui akatambua location
Kati ya mambo ya ovyoUnapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa Heche anayeshambuliwa na Kila siku.
Ukiona mwanajeshi anaamua kupambana vita vyake binafsi bila amri za makamanda huyo hafai atasababisha wenzake kushambuliwa na ndicho alichofanya lema
Ni kikao kipi Cha chama kilichompa lema maagizo ya kuongea makamu Rais Nchimbi .
Kwa sasa wanamtandao wameshajua Siri nyingi za kambi kisa muoga mmoja
Hakuna asiyejua vita ni Kali na MAADUI ni wakatili kuliko Hitler lakini huwezi kuonyesha uoga hadharani kama askari wa mstari wa mbele
Lisu alielezea mapema changamoto kubwa watakazokutana nazo kwenye mapambano ya kudai haki.
Kama mambo mengine yanajadiliwa kwenye vikao vya ndani wanaona kabisa vita imeshawalemea lakini huwezi kutangaza hadharani.
Ukweli ni kwamba MAADUI wa haki wamebanwa kama paka kwenye Kona na wamekuwa hatari zaidi lakini sio sawa kuonyesha uoga kwenye mapambano makali.
Lema angetafuta namna kuondoka kwenye mstari wa mbele kimya kimya bila kutaka kutisha wengine.
Lema amewahi kusema DHAMBI kubwa kuliko zote ni uoga lakini Leo ametenda DHAMBI hiyo hadharani.
Ukishakubali kuwa mstari wa mbele umeamua mambo mawili kufa au kupona .
Vile vile hata fursa zikitokea nyie ndo wa kwanza kufaidi hivyo
Lema ungesubiri vikao vyenu uelezea uoga wako na kukata kwako tamaa kwenye vikao vya ndani sio kutangaza hadharani
Ulichofanya hakina busara yoyote zaidi ya ujinga na uoga utaohatarisha wenzako kushambuliwa vibaya .
Umetoa code nyingi sana Kwa upande wa pili watakazotumia kujua N mnachokiogopa Kwa sasa
Uzuri upande wa pili wanaangalia muoga Ili watumie
Katiba mpya utawala wa haki na kidemokrasia ni Kwa faida ya Taifa Zima sio chadema Wala ccm tu
Kama Kuna mambo ya ovyo Lema kafanya ni press yake, mbali na usaliti katoa siri za Chama kwa makusudiChadema ya Mbowe ilikuwa ni Chama feki cha Upinzani.Mange amefanikiwa kuexposed matatizo ya kupambania mabadiliko vile jinsi akivyomtriger Lema kufanya ile press,Press imeonyesha Wanaotaka mabadiliko na wale ambao wanataka huu mfumo wa sasa uendelee,binafsi nasema CCM wamejifunga goli,Heche Msigwa wajipange,Lema amesahaweka wazi kinachokuja huko mbele.Usalama wa Wanachama,Viongozi wa Chama ndio Liwe jambo la Kwanza.
Wamempe muda mkuu tutajua mengiAfukuzwe Kabisa .....mambl ya Kikekike apeleke huko anakokwwnda
Lema anataka kuipitisha chadema vichochoroniKati ya mambo ya ovyo
Kama Kuna mambo ya ovyo Lema kafanya ni press yake, mbali na usaliti katoa siri za Chama kwa makusudi
Afukuzwe leo hii
Hataki mabadiliko ya Mfumo,yeye anataka tutumie hekima na njia za panya,hana tofauti na ACT Wazalendo ambao wanafanya kazi ya Kitume kuwasaidia CCM kuhakikisha kamwe Tanzania hakuna electoral reforms,wanatumia njia za kijanja Kama Lema,Wanashiriki Uchaguzi na kuja na vijisababu vizuri kuhalalisha na kupumbaza Watanzania wasitambue nie yao,Uchaguzi ukishafanyika wanarudi kwa Wananchi kulalamika,indirectly wako busy kupinga mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi,wakiona Watanzania wanaanza kuwastukia na CCM inaonekana Kama imeshikwa vibaya,ACT Wazalendo wanarudi kwenye kudai na kuungana na Watanzania kudai mabadilikoLema ni kama wanajeshi wanaochanganyikiwaga baada ya mapambano makali
Arudishwe nyuma haraka
Act ni mabingwa wa unafikiHataki mabadiliko ya Mfumo,yeye anataka tutumie hekima na njia za panya,hana tofauti na ACT Wazalendo ambao wanafanya kazi ya Kitume kuwasaidia CCM kuhakikisha kamwe Tanzania hakuna electoral reforms,wanatumia njia za kijanja Kama Lema,Wanashiriki Uchaguzi na kuja na vijisababu vizuri kuhalalisha na kupumbaza Watanzania wasitambue nie yao,Uchaguzi ukishafanyika wanarudi kwa Wananchi kulalamika,indirectly wako busy kupinga mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi,wakiona Watanzania wanaanza kuwastukia na CCM inaonekana Kama imeshikwa vibaya,ACT Wazalendo wanarudi kwenye kudai na kuungana na Watanzania kudai mabadiliko
Wako kazini kupinga Mabadiliko ambayo Watanzania wengi wanaungana na Lisu,Heche,Wanaharakati kutaka mabadiliko ya kweli,njia inayotumiwa ACT ndio njia hiyo hiyo mapandikizi wote wanatumia,Mfano Lema anaenda kwenye misafara ya Chadema ya Lisu/Heche yenye agenda yao ya kufadai Katiba Mpya,yeye anafanya kazi ya CCM ya kupinga Katiba Mpya kijanja kwa kusema tunahitaji mabadiliko ya Fikra kwanza na sio Katiba Mpya,Mange alivyo Sharp,anapick hiyo kitu na kusema jinsi anavyomchukia Lema,Ila Watanzania wengi bado wanashindwa kugundua kwa nini Mange anawaambia Lema ni Mole ndani ya Chadema,Heche/Lisu wanaambia Watanzania Msiogope,Simameni Imara,Lema na Mapandikizi wenzake wanaungana na Mulilo na wana CCM wengine wote kutisha watu.Act ni mabingwa wa unafiki
Wanaridhiana na ccm Zanzibar wakija Tanganyika wanasema hawataki maridhiano na ccm