Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Wapi nimemshangaa Lema? Kwanini ashindwe kusema ushoga ni dhambi? Ana beat around the bush
Kwa hiyo ushoga ndiyo dhambi pekee inayopaswa kukemewa. Tunaoukemea huo ushoga hadi kufikia kuwatoa roho hao binadamu wenzetu tuna usafi gani mbele za Mungu? Kwangu mimi ushoga si kitu kizuri hata kidogo na ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu.
 
😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…