Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Uwe unaelewa,

Kuwatisha warudi gizani maana yake ni, kudeal na chanzo Cha wao kuwa waovu, tukiuangamiza USHOGA kama ROHO kimfumo,

Shoga anapotaka atambuliwe na kusajiliwa, hayo Si maamuzi yake binafsi, ni Roho ya USHOGA iliyo ndani ya shoga inataka ihalalishwe peupe NURUNI wakati yenyewe asili yake ni gizani, KUZIMU.

Ni sawa na jambazi kusema anataka KAZI yake itambuliwe na apewe leseni ya ujambazi na alipe Kodi.

Kumkemea shoga na kumnyima utambulisho na kumlaani, Maana yake tunamtenga shoga na USHOGA.

USHOGA kama ROHO na mfumo ukitengwa na mtu shoga ndio unarudi GIZANI iliko asili ya USHOGA.

Na baada ya hapo utaona aliye shoga anaacha USHOGA, na akikemewa anasikia na kutii.

Ni ngumu kunielewa ninapoongea ktk Roho while wewe u katika mwili ukitumia akili kupambanua.
Umeeleza vyema
 
Mashoga,wafiraji wanatakiwa watishwe Kwa SHERIA Kali kikiwamo kifungo.
Na hapo mwanzo ulisema mashoga wana mapepo, hivyo wanahitaji EXORCISM.

Sasa hivi umegeuza tena kibao unataka wafungwe?

Unamfunga mtu aliyepagawa na mapepo badala ya kumuombea ili mashetani yatoke? ASKOFU!!!!!

ASKOFU unafeli wapi? Mbona sentensi hazieleweki?
 
Unaweza ona watu wameacha kucoment Uzi huu sababu wanasoma comment zenye mguso na utiisho wa Mungu ndani yake

Hahahahaa BABA ASKOFUU!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tuko na majukumu tunaingia kwa kuvizia.
 
Kuna yule mwanamke mzinzi...Yesu aliwajibuje wale washtaki wake?

Kuna talaka Yesu aliiongeleaje?

Tuliza kichwa mkuu

Yohana 8: 1-11

1 Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka mlima wa Mizeituni.

2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.

3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.

4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Wakristo wengi hutumia mistari hii kuhalalisha uzinzi.

Na matumizi ya Yohana 8:1-11 kwa kweli yanaleta msiba mkubwa kwa Maadili na Maadili.

Kwanza, ni kosa kubwa kwa Wakristo kutumia Yohana 8:1-11 kama kisingizio cha dhambi za zinaa wanazomtendea MUNGU Mwenyezi.

Yesu, amani iwe juu yake alipokataa kumpiga kwa mawe yule mwanamke, KWA KWELI ALIKATAA KUWA MNAFIKI

Kama angeamuru kupigwa kwa mawe mwanamke huyo, angekuwa kweli mnafiki, kwa sababu watu wenye mamlaka wakati huo hawakufuata chochote katika Sheria za Mungu.

Hata aliwaita "wanafiki" mara kadhaa; soma Mathayo 6:2, 5, 16, Mathayo 15:7, Mathayo 22:18, Mathayo 23:13, 15, 23, 25, 27, 29, Mathayo 24:51, Marko 7:6 na Luka 13:15 kwenye Bibilia.

Hivi kwanini umwadhibu mwananchi dhaifu na kuacha sababu ya ufisadi?!

Huo ulikuwa ni Ujumbe ambao Yesu amani iwe juu yake aliwapa watu wakati huo.

Yohana 8:6 inasema waziwazi "Walikuwa wakitumia swali hili kama mtego", ina maana wazi kwamba Yohana 8:1-11 haikuwa zaidi ya mtego wa kumfanya Yesu , kufanya makosa.

Ndio maana HAKUWARUHUSU KUTUMIA UJANJA NA KUMLAZIMISHA KUTOA HUKUMU YOYOTE DHIDI YA MWANAMKE.

Yesu hakubatilisha hata kidogo Sheria za MUNGU kuhusu adhabu ya uzinzi.

Kumbuka kwamba Yesu alizungumza sana kuhusu Sheria ya Agano la Kale:

Yesu anawaamuru Wakristo wafuate sheria za Agano la Kale:

“Msidhani ya kuwa mimi [Yesu] nalikuja kuitangua Torati (Agano la Kale) au manabii; sikuja kutangua, bali kutimiliza. hata mbingu na nchi zitakapotoweka, hata herufi ndogo kabisa, hata nukta moja, wala kalamu, itatoweka kwa njia yo yote katika Torati (Agano la Kale) hata yote yatimie.” ( Mathayo 23:1-3, Mathayo 5; 17-18)"

Ni wazi kabisa kutokana na aya hizi za Agano Jipya kwamba Yesu amani iwe juu yake aliheshimu Agano la Kale na alisema kwamba kila "barua" moja yake inapaswa kuheshimiwa, kufuatwa na kutimizwa.

"Kisha Yesu akauambia umati wa watu na wanafunzi wake, "Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa. Kwa hiyo ni lazima kuwatii na kufanya yote watakayowaambia. Lakini msifanye wafanyavyo, kwa maana wanafanya. hawatendi yale wanayohubiri.' ( Mathayo 23:1-3 )”

Tunaona waziwazi katika mistari hii kwamba Yesu amani iwe juu yake hakukataza Agano la Kale kufuatwa, bali aliwaonya tu wafuasi wake kutoifuata jinsi viongozi wa dini wa sasa wa Sheria. (Wanarabi wa Kiyahudi) walikuwa wakiifuata.
 
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Mfano mtu anajua shule flani ya kishogaahoga, bado anampeleka mtoto. Lakini mtu huyo baadae anailalamikia serikali eti itunge sheria. Binafsi naishauri serikali isijiingize katika huo mtego, kutunga sheria maalum ni kuutangaza. Kwa sasa sheria tulizonazo zinatosha kuwanyoosha hao wasenga wachache.
 
Yaani unamshangaa mtu mmoja ambae hatuna uhakika kama hajaathiriwa au laa (kisaikolojia) na mikimbizano ya mwaka 2020 na unashindwa kuishangaa serikali yako?
Waishangae serikali ambayo mpaka sasa haijawahi kutoa tamko kupinga ushoga waziwazi. Wengi humu wanapinga kwenye keyboard tu hapo, sijaona wakibeba mabango kupinga ushoga na kushinikiza serikali itoe msimamo wake.
 
Nilikuwa nasikia tu kuwa Chadema ni watetezi wa Ushoga na Usagaji na hawawezi kukosoa vitendo hivyo kwasababu wanaogopa kuwaudhi wafadhili wao wa Magharibi.

Nimeona Clip ya God bless Lema akiulizwa na Muandishi juu ya Msimamo wake kuhusu Ushoga na Usagaji, EBWANA JAMAA KAPIGA SOUND LA KUJIUMAUMA NA HAJAELEZA KAMA NI JAMBO BAYA NA WALA HAJAKOSOA.

KWA HILI KWA KWELI WA TANZANIA PIMENI WENYEWE IKITOKEA HIKI CHAMA KUPEWA NCHI ITAKUWAJE KWA VIZAZI VIJAVYO. NI MARA KUMI CHAMA CHA HASHIMU RUNGWE KITAWALE .

MUNGU EPUSHA NCHI YETU KUONGOZWA NA WATETEZI WA YALIYOKUKASIRISHA KULE SODOMA NA GOMORA
Nawashangaa sana watanzania, kwani CHADEMA inapewa shilingi ngapi na wafadhili, ishangae serikali yako ambayo inapewa hela nyingi na wafadhili kwa ajili ya kuchangia bajeti ya serikali. Soma bajeti na matumizi ya serikali mwaka wa fedha uliopita halafu ndio uje hapa uongee. Mnainanga CHADEMA ili hali serikali iliyo madarakani haijasema chochote kuhusu ushoga.
 
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.

===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.

Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Wewe umezini mara ngapi mbona haujauwa? Vipi kuhusu rushwa,dhuruma n.k unadhani kwa Mungu kuna dhambi ndogo na kubwa? Kwanini unaomba hukumu kwa mwenzako vipi ww nani kakuhukumu dhambi zako?
 
Kwani wapi nimesema wazinzi wauawe
Wewe umezini mara ngapi mbona haujauwa? Vipi kuhusu rushwa,dhuruma n.k unadhani kwa Mungu kuna dhambi ndogo na kubwa? Kwanini unaomba hukumu kwa mwenzako vipi ww nani kakuhukumu dhambi zako?
 
Na hapo mwanzo ulisema mashoga wana mapepo, hivyo wanahitaji EXORCISM.

Sasa hivi umegeuza tena kibao unataka wafungwe?

Unamfunga mtu aliyepagawa na mapepo badala ya kumuombea ili mashetani yatoke? ASKOFU!!!!!

ASKOFU unafeli wapi? Mbona sentensi hazieleweki?
Serikali na viongozi wa kiimani wanatakiwa washirikiane kutatua changamoto hii.

Sisi tunadeal nao kiroho Serikali inadeal nao kimwili.

Ni kama majambazi, walitoka ktk family na walikulia wengine wakisikia maonyo ya neno la Mungu,

Bt wakikaidi na kufanya unyanganyi na kutiwa nguvuni sisi huja kuwahubiri gerezani,

Bt ni wengi wanaobadilishwa na maelekezo ya viongozi kiroho na wanakuwa watu wema.

Tusingekuwa tunawajibika vya kutosha, magereza yasingetosha.
 
Lema huwa ni mropokaji ila katika hili kaongea kwa hekima na akili ya juu.. haya mambo ya ushoga tunaya-promote kupitia mijadala isiyo ya lazima. Taifa likirudi kwenye maadili yake hatutapoteza muda kujadili upuuzi. Mauaji hayafai...
 
Nakiri....sijaweza kusoma mabandiko yote kufikia hapa. Na, nina uhakika kuna wale ambao wamesikia na kuhisi maneno ya Lema yana siasa nyingi zaidi ya imani. Huo ndio mtazamo wangu.

Biblia imeacha kwa makusudi mambo ya vifo kwa Muumba. Biblia katika maelezo yake inatuambia, kati ya yanoyomuudhi muumba ni kwa binadamu kumuua binadamu mwenzake(kumtengenezea kifo)au kwa binadamu kujifanya au kujitweka yale ya Muumba.

Biblia vilevile imezungumzia ushoga,na katika maelezo yake, mungu hajapendezwa na yanamuudhi muumba.

Suala la Lema kutumia neno 'mtu kuuwawa' lipo kisiasa zaidi na halina mshiko ni suala la kibinadamu zaidi kuliko ya kiimani

Kwa lugha nyingine :- anatoa tahadhari kwa yeyote yule kutojichukulia au kutojitweka umungu kutoa maamuzi juu ya hatma ya wale wanaomuudhi muumba....

je kwa ridhaa ya nani?

je, wapo semi-gods wanaoweza kutoa ridhaa ya yale yanayomuudhi muumba?

...na kama Semi-gods ni wanasiasa, basi suala la mashoga ni lao na sio la muumba hatahivyo-suala hili limetolewa tafsiri na mmoja wa wakuu wa imani ya kikristo, Papa F ambaye amesema kujamiana kwa jinsia moja ni dhambi na tendo la dhambi tunavyoelezwa na biblia linamuudhi mungu, halikadhalika muungano au ndoa ya mashoga lisiwe ni suala la uhalifu!
Je, ndio hayo anayomaanisha Lema?

Binadamu-Dhambi ni Uhalifu

Muumba- Dhambi ni Dhambi

Binadamu ni semi-god

Hivyo basi,
Uhalifu ni wa Kibinadamu?

Kwa wale wanaoelewa watumiaji wa maneno ya Biblia kuweza kuwahadaa wenzao ndio wataweza kuelewa Lema anatoa wapi misimamo yake. Asituhadae na Biblia.
Nyuma ya HOJA ya Lema Pana agenda ya Siri.

Na agenda hiyo ya Siri Ina lengo OVU.

Angeenda deep kueleza madhara ya USHOGA Kwa Watanzania, kiimani, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kijinsia, ktk kulinda wanaume kuendelea kuzalisha kuendeleza uzao angeeleweka.
 
Yohana 8: 1-11

1 Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka mlima wa Mizeituni.

2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.

3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.

4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Wakristo wengi hutumia mistari hii kuhalalisha uzinzi.

Na matumizi ya Yohana 8:1-11 kwa kweli yanaleta msiba mkubwa kwa Maadili na Maadili.

Kwanza, ni kosa kubwa kwa Wakristo kutumia Yohana 8:1-11 kama kisingizio cha dhambi za zinaa wanazomtendea MUNGU Mwenyezi.

Yesu, amani iwe juu yake alipokataa kumpiga kwa mawe yule mwanamke, KWA KWELI ALIKATAA KUWA MNAFIKI

Kama angeamuru kupigwa kwa mawe mwanamke huyo, angekuwa kweli mnafiki, kwa sababu watu wenye mamlaka wakati huo hawakufuata chochote katika Sheria za Mungu.

Hata aliwaita "wanafiki" mara kadhaa; soma Mathayo 6:2, 5, 16, Mathayo 15:7, Mathayo 22:18, Mathayo 23:13, 15, 23, 25, 27, 29, Mathayo 24:51, Marko 7:6 na Luka 13:15 kwenye Bibilia.

Hivi kwanini umwadhibu mwananchi dhaifu na kuacha sababu ya ufisadi?!

Huo ulikuwa ni Ujumbe ambao Yesu amani iwe juu yake aliwapa watu wakati huo.

Yohana 8:6 inasema waziwazi "Walikuwa wakitumia swali hili kama mtego", ina maana wazi kwamba Yohana 8:1-11 haikuwa zaidi ya mtego wa kumfanya Yesu , kufanya makosa.

Ndio maana HAKUWARUHUSU KUTUMIA UJANJA NA KUMLAZIMISHA KUTOA HUKUMU YOYOTE DHIDI YA MWANAMKE.

Yesu hakubatilisha hata kidogo Sheria za MUNGU kuhusu adhabu ya uzinzi.

Kumbuka kwamba Yesu alizungumza sana kuhusu Sheria ya Agano la Kale:

Yesu anawaamuru Wakristo wafuate sheria za Agano la Kale:

“Msidhani ya kuwa mimi [Yesu] nalikuja kuitangua Torati (Agano la Kale) au manabii; sikuja kutangua, bali kutimiliza. hata mbingu na nchi zitakapotoweka, hata herufi ndogo kabisa, hata nukta moja, wala kalamu, itatoweka kwa njia yo yote katika Torati (Agano la Kale) hata yote yatimie.” ( Mathayo 23:1-3, Mathayo 5; 17-18)"

Ni wazi kabisa kutokana na aya hizi za Agano Jipya kwamba Yesu amani iwe juu yake aliheshimu Agano la Kale na alisema kwamba kila "barua" moja yake inapaswa kuheshimiwa, kufuatwa na kutimizwa.

"Kisha Yesu akauambia umati wa watu na wanafunzi wake, "Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa. Kwa hiyo ni lazima kuwatii na kufanya yote watakayowaambia. Lakini msifanye wafanyavyo, kwa maana wanafanya. hawatendi yale wanayohubiri.' ( Mathayo 23:1-3 )”

Tunaona waziwazi katika mistari hii kwamba Yesu amani iwe juu yake hakukataza Agano la Kale kufuatwa, bali aliwaonya tu wafuasi wake kutoifuata jinsi viongozi wa dini wa sasa wa Sheria. (Wanarabi wa Kiyahudi) walikuwa wakiifuata.
Umetumia muda mrefu kujenga hii hoja lakini umefeli sana.
Soma upya hizo aya, kisha soma tena unaweza kupata maana yake.
 
Ni kiswahili hicho au nikuwekee kwa English?
Au wewe lete ilivyoandika kwenye biblia yako
 
Kiini cha hoja yako ni kuwa unataka wakristo waendelee kufuata agano la kale kama kupiga kwa mawe mzinzi hadi kufa, kuuwa mchawi, jino kwa jino n.k

Je hoja yako ni hiyo kama nilivyo eleza hapo juu?

Naomba ujibu kwa uungwana ili tuelekezane.
 
Yohana 8: 1-11

1 Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka mlima wa Mizeituni.

2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.

3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.

4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Wakristo wengi hutumia mistari hii kuhalalisha uzinzi.

Na matumizi ya Yohana 8:1-11 kwa kweli yanaleta msiba mkubwa kwa Maadili na Maadili.

Kwanza, ni kosa kubwa kwa Wakristo kutumia Yohana 8:1-11 kama kisingizio cha dhambi za zinaa wanazomtendea MUNGU Mwenyezi.

Yesu, amani iwe juu yake alipokataa kumpiga kwa mawe yule mwanamke, KWA KWELI ALIKATAA KUWA MNAFIKI

Kama angeamuru kupigwa kwa mawe mwanamke huyo, angekuwa kweli mnafiki, kwa sababu watu wenye mamlaka wakati huo hawakufuata chochote katika Sheria za Mungu.

Hata aliwaita "wanafiki" mara kadhaa; soma Mathayo 6:2, 5, 16, Mathayo 15:7, Mathayo 22:18, Mathayo 23:13, 15, 23, 25, 27, 29, Mathayo 24:51, Marko 7:6 na Luka 13:15 kwenye Bibilia.

Hivi kwanini umwadhibu mwananchi dhaifu na kuacha sababu ya ufisadi?!

Huo ulikuwa ni Ujumbe ambao Yesu amani iwe juu yake aliwapa watu wakati huo.

Yohana 8:6 inasema waziwazi "Walikuwa wakitumia swali hili kama mtego", ina maana wazi kwamba Yohana 8:1-11 haikuwa zaidi ya mtego wa kumfanya Yesu , kufanya makosa.

Ndio maana HAKUWARUHUSU KUTUMIA UJANJA NA KUMLAZIMISHA KUTOA HUKUMU YOYOTE DHIDI YA MWANAMKE.

Yesu hakubatilisha hata kidogo Sheria za MUNGU kuhusu adhabu ya uzinzi.

Kumbuka kwamba Yesu alizungumza sana kuhusu Sheria ya Agano la Kale:

Yesu anawaamuru Wakristo wafuate sheria za Agano la Kale:

“Msidhani ya kuwa mimi [Yesu] nalikuja kuitangua Torati (Agano la Kale) au manabii; sikuja kutangua, bali kutimiliza. hata mbingu na nchi zitakapotoweka, hata herufi ndogo kabisa, hata nukta moja, wala kalamu, itatoweka kwa njia yo yote katika Torati (Agano la Kale) hata yote yatimie.” ( Mathayo 23:1-3, Mathayo 5; 17-18)"

Ni wazi kabisa kutokana na aya hizi za Agano Jipya kwamba Yesu amani iwe juu yake aliheshimu Agano la Kale na alisema kwamba kila "barua" moja yake inapaswa kuheshimiwa, kufuatwa na kutimizwa.

"Kisha Yesu akauambia umati wa watu na wanafunzi wake, "Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa. Kwa hiyo ni lazima kuwatii na kufanya yote watakayowaambia. Lakini msifanye wafanyavyo, kwa maana wanafanya. hawatendi yale wanayohubiri.' ( Mathayo 23:1-3 )”

Tunaona waziwazi katika mistari hii kwamba Yesu amani iwe juu yake hakukataza Agano la Kale kufuatwa, bali aliwaonya tu wafuasi wake kutoifuata jinsi viongozi wa dini wa sasa wa Sheria. (Wanarabi wa Kiyahudi) walikuwa wakiifuata.
Yesu aliwazuia wazinzi na wenye dhambi kumhukumu mzinzi Kwa kumpigia mawe.

Yesu alimsamehe na kumwambia "Usitende dhambi tena".

Ingekuwa Leo watu wamemkamata shoga na kutaka kumshambulia angewakataza na kumwambia shoga "Usitende dhambi tena".

Baada ya mwanamke mzinzi kusamehewa tumeona hakuendelea kuzini, aliacha UZINZI na alikuwa Mwanafunzi mtiifu Kwa Yesu na mwanamke huyo alishiriki maziko ya Yesu.

Tunategemea baada ya mashoga kukemewa na kuambiwa dhambi Yao, waache USHOGA, na wafiraji waache.

Wakiendelea na TABIA hizo, tutaiambia Serikali iongeze ADHABU Kali juu Yao Kwa Nia njema Ili waache upumbavu Ili warudi kufanya KAZI za uzalishaji Mali kama KILIMO, ufugaji, biashara halali, uchimbaji madini nk nk.

Mungu ibariki TANZANIA.

Mungu wabariki watu wake, wajae HOFU Yako.

Amen
 
Nyuma ya HOJA ya Lema Pana agenda ya Siri.

Na agenda hiyo ya Siri Ina lengo OVU.

Angeenda deep kueleza madhara ya USHOGA Kwa Watanzania, kiimani, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kijinsia, ktk kulinda wanaume kuendelea kuzalisha kuendeleza uzao angeeleweka.
Nyuma ya hoja za Mzungu kuwa tunahitaji "Salvation" kuna Uovu.....hakika.

Mabeberu yalitumia sana biblia na neno Mungu katika kufanya hadaa ya kile haswa walichokuwa wakitafuta, nacho ni utajiri mali. Ukiuatilia maneno yake unagundua anafanya marketing ya vitu vya wanaotaka wazungu.

e.g ajira, kiuhalisia wazungu hawataki au hawapendi kufanya kazi za kuajiriwa, kwa sabau wanadai inakunyima uhuru wa kujiamulia. Bodaboda au shughuli za hao jamaa ni huru na wanauwezo wa kujiamulia, kitu ambacho beberu[hapa industrialist] hakubaliani nacho kwani yeye anataka ukamfanyie kazi akulipe. kwa maneno mengine uwe mtumwa wake. Anakuamulia saa za kufanya, kitu cha kufanya ...mwishowe mapato yote unayopata. Lema anasema uende ukaajiriwe viwandani kana kwamba huko huwezi kufa! Kwani madai yake ni kuwa ukiwa na laana utakufa.

Anarudia sentiments za wazungu wa ulaya dhidi ya watu wao wa ulaya i.e Waingereza na Wa irish wakati wa Industrial revolution-the merchants economy vs industrialist capitalist economy maneno yake yanapimika au unaweza kuona ni historia inayojirudia.....mpito kati ya uchumi wa kuchuuza kwenda uchumi wa viwanda. Kiuhalisia haina tatizo ila ni tactics zake Ni zile za Wazungu bible in one hand na fimbo in the other hand. Lema anatonyesha vidonda. Lema analeta taharuki, Lema anataka vurugu.
Nisikuchoshe, Usiri wake ni dhahiri hatahivyo. Malengo yake au malengo na azma alizopewa kufikia ni Uchonganishi wa fikra za kuwa huru na kitumwa.

isitoshe suala la ushoga limeelemea sana kwenye 'control'
 
Hapo sasa....
Wakiendelea na TABIA hizo, tutaiambia Serikali iongeze ADHABU Kali juu Yao Kwa Nia njema Ili waache upumbavu Ili warudi kufanya KAZI za uzalishaji Mali kama KILIMO, ufugaji, biashara halali, uchimbaji madini nk nk.
....na ndio maneno yake kuwa haamini "kuua" kwa lugha nyingine anakubali adhabu yeyote, tena kwa shingo upande kwasababu yeye ni mtu wa 'mungu' vilevile anaelewa ni kitu ambacho lazima akubali ili ale asali uuko mbele.

Abadilishe mindset inayoelekea kufanya hayo uliyoorodhesha.
 
Nyuma ya hoja za Mzungu kuwa tunahitaji "Salvation" kuna Uovu.....hakika.

Mabeberu yalitumia sana biblia na neno Mungu katika kufanya hadaa ya kile haswa walichokuwa wakitafuta, nacho ni utajiri mali. Ukiuatilia maneno yake unagundua anafanya marketing ya vitu vya wanaotaka wazungu.

e.g ajira, kiuhalisia wazungu hawataki au hawapendi kufanya kazi za kuajiriwa, kwa sabau wanadai inakunyima uhuru wa kujiamulia. Bodaboda au shughuli za hao jamaa ni huru na wanauwezo wa kujiamulia, kitu ambacho beberu[hapa industrialist] hakubaliani nacho kwani yeye anataka ukamfanyie kazi akulipe. kwa maneno mengine uwe mtumwa wake. Anakuamulia saa za kufanya, kitu cha kufanya ...mwishowe mapato yote unayopata. Lema anasema uende ukaajiriwe viwandani kana kwamba huko huwezi kufa! Kwani madai yake ni kuwa ukiwa na laana utakufa.

Anarudia sentiments za wazungu wa ulaya dhidi ya watu wao wa ulaya i.e Waingereza na Wa irish wakati wa Industrial revolution-the merchants economy vs industrialist capitalist economy maneno yake yanapimika au unaweza kuona ni historia inayojirudia.....mpito kati ya uchumi wa kuchuuza kwenda uchumi wa viwanda. Kiuhalisia haina tatizo ila ni tactics zake Ni zile za Wazungu bible in one hand na fimbo in the other hand. Lema anatonyesha vidonda. Lema analeta taharuki, Lema anataka vurugu.
Nisikuchoshe, Usiri wake ni dhahiri hatahivyo. Malengo yake au malengo na azma alizopewa kufikia ni Uchonganishi wa fikra za kuwa huru na kitumwa.

isitoshe suala la ushoga limeelemea sana kwenye 'control'
Pia sikubaliani na HOJA ya Lema kuwa Serikali iwakopeshe.matajiri Wachache pesa nyingi na iwamilikishe ardhi kubwa Ili wafanye KILIMO Cha kisasa.

Huo ni utumwa unarudi, wananchi ktk vikundi ndo wanatakiwa wawezeashe mikopo, utaalamu na vitendeakazi Ili kumiliki Uchumi wao.

Pia wazungu hawakuwa wakiijua BIBLIA.

BIBLIA wameitoa Asia baada ya wazungu kukisoma na kuona baadhi ya vifungu vinaweza kutumika kupeleka agenda zao kuvitawala Afrika.

Nw wameacha BIBLIA na kugeukia USHETANI, bt BIBLIA imeendelea kuwa.pale pale,

Ikikataza UOVU, ikiwaelekeza watu wote kumcha Mungu, kupendana na kusaidiana.
 
Hapo sasa....

....na ndio maneno yake kuwa haamini "kuua" kwa lugha nyingine anakubali adhabu yeyote, tena kwa shingo upande kwasababu yeye ni mtu wa 'mungu' vilevile anaelewa ni kitu ambacho lazima akubali ili ale asali uuko mbele.

Abadilishe mindset inayoelekea kufanya hayo uliyoorodhesha.
China ukimkamata Mwizi inaruhusiwa kumuua hadharani,

Wala RUSHWA wananyongwa hadharani?

Je RUSHWA imeisha china Kwa jitihada hizo?

Kifungo, viboko hadharani, kuhenyeshwa Kwa KAZI nzito nzito za kuzalisha Mali, na hatua zingine Kali zinaweza saidia kuondoa tatizo bila kuwaua.
 
Back
Top Bottom