Lema atua Tanga Mjini, ashangaa na kulia baada ya kukuta Watu bado wanaishi kwenye Magofu zama hizi!

Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu.
Huyu jamaa toka ametoka ulaya anawaona watanganyika wote ni wajinga, yeye na Lisu tu ndio wanaakili.
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sijajua huyu jamaa anafanya kampeni au ametumwa! Dah hii nchi ngumu sana.

Anapoelekea sio, soon watamsweka ndani halafu muanze oh huyu mama hafai.
Watamweka ndani kwa kuelezea umaskini wa watu wetu? Umaskini siyo sifa.
 
Ushirombo ni mkoa gani bwashee?

Samahani lakini
 
Lema yuko sahihi! Shida yake sasa anataka awe mgeni kabisaa wa hii nchi

Kitendo cha yeye leo awashangae hao wanatanga kwamba mpaka leo wanaishi kwa mapango kana kwamba Lema hajawahi kuwepo/kuzaliwa Tanzania na kwamba ndo jana kashuka toka huko ughaibuni

Huku ni kudhalauliana bhana
 
Sijajua huyu jamaa anafanya kampeni au ametumwa! Dah hii nchi ngumu sana.

Anapoelekea sio, soon watamsweka ndani halafu muanze oh huyu mama hafai.
Lema anaongea utadhani ndiyo mara yake ya kwanza kuiona na kufika Tanzania
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
Kwahiyo nyie mashoga umaskini ni dili kwenu?
 
Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
Hapo miaka miwili tu Canada. Angeishi 10 angesema sisi ni wadudu 🤣🤣🤣
 
hao watanga unawaona ni masikini kwenye ulimwengu wa nyama ila kwenye ulimwengu wa roho ni mabillionea usipime, na wamerizika kwa ilo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamaanisha kweny sekta ya kuruka na ungo?
 
Eti wamachame. Mbona tunao wengi ni masikini na tumewaajiri mashambani kwetu?
 
🤩🤩
 
Eti wamachame. Mbona tunao wengi ni masikini na tumewaajiri mashambani kwetu?
Hakuna mahali nimesema wamachame wote ni matajiri.
Lakini ni miongoni mwa Watanzania wenye makazi bora ya kuishi.
Masikini wapo wengi lkn sio sawa na makabila mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…