Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Nimemuelewa vizuri sana Lema tena anaye ongoza lumtukana Rais ni Ummy Mwalimu hasa kwenye wizara ya afya kwenye swala la bima ya Afya… ni majanga matupu
Lema ametumia akili kubwa sana katika hotuba hii kwa maana amewatega wote aliowataja. Kumshtaki wanaweza lakini wakikumbuka kuwa Makonda anawajua watajishauri mara mbili mbili!
 
Back
Top Bottom