Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Sikiliza hapa:

Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:

"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.

"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."

pia soma
-
Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
We jamaa hiyo Clip iko wapi?
 
Safi Lema kwa hilo umeonesha ujasiri na uwazi kuliko Makonda!
 
Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.

"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
Magazeti yataandika "Sasa Makonda na Lema ni wamoja"
 
Sikiliza hapa:

Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:

"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.

"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."

pia soma
-
Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Tupe link Mkuu ...wapeifunga hai play
 
Cdm wanaumia sana Rais akipewa sifa. Hao aliowataja mara nyingi hueleza alichofanya Mama Samia katika kutekeleza sera za chama.
 
Sikiliza hapa:

Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:

"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.

"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."

pia soma
-
Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
YAPO MAMBO KUYAELEWA YANATAKA AKILI KUBWA SANA, PRINCIPLE ANAYOITUMIA LEMA KWA WENYE AKILI NDOGO HAWATAWEZA KUIELEWA, AND NEVER CONNECT THE DOT, PRINCIPLE YA LEMA NI VERY EASY, KUZALISHA "COMFUSION IN BETWEEN " WAKOSANE WAGAWANYIKE,WHICH IS CAN'T WORK, KWA AKILI ZILIZOTULIA THE INFLICTOR NI CHADEMA, NA WATU WAWILI AU WATATU NDANI YA CCM YENYEWE, AND NOT A MOB.
"Wanajaribu kuivuruga ccm, tuwe makini, form ya urais ni moja tu, 2025 kama vile waziri mkuu alivyosema, nasikitika kumuingiza Bw. Kassim na mwigulu, kwenye mgogoro huu"
Bw, Januari Tunautaka huu mtetea mahakama ya kisutu ASAP!
 
Watajua hawajui!
 
Kwa kuwa Siasa ni sayansi,wenye Phd wanajua kinachoendelea Tanzania kuanzia sasa hadi baada ya uchaguzi mkuu.Panahitajika akili kubwa kuelewa yanayoendelea nchini..cha muhimu ni kuwa Tuko Salama Sana!
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameumizwa Sana na Tabia ya mawaziri kumtukana Rais

Lema amelalamika na kuhuzunika Sana ukurasani Kwake Kule X

Nawatakieni Sabato njema
Ingia Instagram

Chademakaskazini

Huko Nabii yuko LIIVE
 
Back
Top Bottom