Makonda hakupaswa kuachwa ashuke kwenye podium hiyo Jana bila kuwataja. Alipaswa kuwataja na kuweka ushahidi hadharani or else Kisongo ingemhusu Jana hiyo hiyo.Mmmhhhh...!!! Hili nalo ni kuangalia kwa jicho la ndani zaidi, usikute ni kumchonganisha Mkuu wa nchi na wasaidizi wake wa karibu, sio jambo la kukurupuka, vyombo vipo vifanye kazi yake