Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Chadema huwa hawana sera wanadandia dandia hoja za viongozi wa CCM

Mfano leo mkuu wa wilaya akijinyenyea hadharami kesho itakuwa ndio hoja kuuya Chadema ya mikutano ya hadhara na maandamano .Hotuba zikijikita kwenye kujinyea kwa mkuu wa wilaya
Inasikitisha sana jinsi upinzani ulivyo dhaifu na mufilisi
 
Makonda aliwapa mpaka kesho wakiendelea atawataja. Ina maana Makonda mwenyewe anawaogopa.
 
CCM hoyeeee!
Makonda ni mfitishi.
 
Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?

Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?

Kwani kuna jipya lipi alilolisema Makonda kuhusu kuzodoana kwa wana CCM?
Hatukumbuki Kikwete alivyosema wana CCM hawaachiani maji ya kunywa?
Hatukumbuki sumu aliyowekewa Mwakyembe na wana CCM wenzake?
Hatukumbuki jinsi Phillip Mangula alivyoponea chupuchupu kufa kwa kuwekewa sumu alipokuwa kwenye kikao cha CCM?
Hatukumbuki matusi ya Kinana, Nape na Makamba kwa hayati Magufuli?
Hatukumbuki Rais Samia alivyosema watakaomsumbua ni walioko ndani ya CCM na si upinzani? Kipya kipi?

Inasikitisha mno kwa upinzani kuishiwa kabisa hoja na sera za kutukomboa wananchi.
 
Back
Top Bottom