Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya sera ya upinzani kuonyesha panapovuja ndani ya serikali ya CCM. Hapa upinzani umeonyesha serikali imejaa genge la wahuni, majizi, mafisadi, wachawi na watu wanaojali matumbo yao badala ya kushughulikia kero na shida za wananchi.Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi alilolisema Makonda kuhusu kuzodoana kwa wana CCM?
Hatukumbuki Kikwete alivyosema wana CCM hawaachiani maji ya kunywa?
Hatukumbuki sumu aliyowekewa Mwakyembe na wana CCM wenzake?
Hatukumbuki jinsi Phillip Mangula alivyoponea chupuchupu kufa kwa kuwekewa sumu alipokuwa kwenye kikao cha CCM?
Hatukumbuki matusi ya Kinana, Nape na Makamba kwa hayati Magufuli?
Hatukumbuki Rais Samia alivyosema watakaomsumbua ni walioko ndani ya CCM na si upinzani? Kipya kipi?
Inasikitisha mno kwa upinzani kuishiwa kabisa hoja na sera za kutukomboa wananchi.
Peleka kwa Makonda hiyo hoja yako anayo majibu!Athibitishe
Nenda YouTubeVideo imegoma kufunguka Ila nimesikitika sana
Unaonesha nini kipya wakati kila kitu kiko wazi na wao wanaumbuana hadharani?!Moja ya sera ya upinzani kuonyesha panapovuja ndani ya serikali ya CCM. Hapa upinzani umeonyesha serikali imejaa genge la wahuni, majizi, mafisadi, wachawi na watu wanaojali matumbo yao badala ya kushughulikia kero na shida za wananchi.
Huu ni ukombozi mkubwa wa kifikra badala ya wananchi kusubiri kugawiwa kofia na kanga.
Bila kuonyesha uozo uliopo serikalini na bila kuelimisha wananchi ukombozi hautapatika kwa amani!
Saa ya ukombozi ni sasa!
Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wam
Sielewi kwa nini Lema kalivalia njuga hili suala. Licha ya hao, utendaji mbovu wa serikali ni Sawa na kujitukana yeye binafsi.Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
😂😂😂😂Wanamwita mpumbavu mi sijui....
Unataka kipya wakati kilichopo bado kina tija na matokea yanaonekana! Kipya kitakuja kukabili yajayo!Unaonesha nini kipya wakati kila kitu kiko wazi na wao wanaumbuana hadharani?!
Alitembea Kwa Magoti Pale MagogoniNape hadi alikwenda kuomba msamaha huku jasho linamtoka 😂😂😂😂😂😂
Lema leo nimeamini ni mkurupukaji, kwa nini hakumuachia Makonda awataje?kimemuwasha nini!Mimi nadhan Chadema walitakiwa kukaa kimya waache ccm watifuane, wavurugane. Kwa namna wanavyoingilia sakata likiwa linaanza wanawaamsha CCM kuchukua tahadhari kwenye migogoro yao Kwan wapinzani wanaitumia kisiasa, Chadema wangeacha moto uwake kwanza
Kwa nini Makonda alikuwa anawaficha? Kwa manufaa ya nani?Lema leo nimeamini ni mkurupukaji, kwa nini hakumuachia Makonda awataje?kimemuwasha nini!
Hii ndiyo hoja sasa CHADEMA tuichukue na kuzunguka nchi nzima....tutapata wapiga kura wengiLema chochea kuni
🤣🤣HILI NALO MKALITAZAME