kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Usikute na hao wanaoleta matatizo kwenye umeme ili mama aonekame mbaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha!!
Nimesikia hayo majina na nasubiri kusikia kama watamkamata Lema au watamtaka atoe ushahidi ingawa kawa mjanja kwa kutaja wachache akimanisha mawaziri wote.
Hiyo sio pole mkuu ni kejeriMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameumizwa Sana na Tabia ya mawaziri kumtukana Rais
Lema amelalamika na kuhuzunika Sana ukurasani Kwake Kule X
Nawatakieni Sabato njema
Huyu immakulata (Lema)kila kitu ni kudandia ,aache kiherehereMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameumizwa Sana na Tabia ya mawaziri kumtukana Rais
Lema amelalamika na kuhuzunika Sana ukurasani Kwake Kule X
Nawatakieni Sabato njema
Alete ushshidi, ama sivyo ni fitna na majungu.
Hapa lkn kinachojadiliwa Mkuu ni RAIS wa nchi mwenye Mamlaka kamili na siyo Kiongozi/Mwenyekiti wa Chama. Tusipokuwa na tabia ya kuheshimu Mamlaka, hata ndani ya Vyama vyetu tutaendeleza tabia hizo za kuwakujeli na kuwatukana Viongozi wetu tuliowachagua wenyewe...Ccm wamekuwa na tabia wakikosolewa wanadai wametukanwa.
..Hakuna viongozi wanaotukanwa nchi hii kama wapinzani.
..Uvccm wametukanwa viongozi wa upinzani matusi ya kila aina.
..Namshauri Rais avumilie kukosolewa,kulaumiwa, na hata kutukanwa. Yote hayo ni sehemu ya uongozi.
Hapa lkn kinachojadiliwa Mkuu ni RAIS wa nchi mwenye Mamlaka kamili na siyo Kiongozi/Mwenyekiti wa Chama. Tusipokuwa na tabia ya kuheshimu Mamlaka, hata ndani ya Vyama vyetu tutaendeleza tabia hizo za kuwakujeli na kuwatukana Viongozi wetu tuliowachagua wenyewe.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba, mbegu hii ya chuki kejeli na matusi yalipandwa na Uvccm na kupaliliwa kuwekewa mbolea na Viongozi wao Kitaifa, kwa Wapinzani wao hasa nje ya chama Chao. Sasa mazao yamekomaa yanahitaji kuvunwa. CCM wanataka kuyakimbia mazao yao.
Tizama wanaodaiwa kumtukana Rais ni wale wale waliowafundisha wenyewe. Siyo walio nje ya CCM.
Wanakudinya?Huyu immakulata (Lema)kila kitu ni kudandia ,aache kiherehere
..mimi naona wavumilie tu.
..waache kudeka'deka kama watoto wadogo.
..tunamzungumzia Amiri Jeshi Mkuu hapa.
..kama matusi yanampa shida, ,Je, ataweza kutuongoza vitani?
nimeandika na kufuta, sitaki kuchafua cv yangu kama mtumishi. Mungu ibariki Tanzania. Ila, heshimuni viongozi wenu maana Mungu anawatumia kutuongoza. na ninyi viongozi, mkikosea mnapokosolewa msikimbilie kusema mnatukanwa. mkiiba tutawaambia ninyi wezi, mkifanya uchafu tutawaambia ninyi wachafu, muache dhambi mrudieni Mungu. Ila hekima na busara hata za adabu ya kawaida tu ya kufunzwa na wazazi wako zitumike basi,Hapa lkn kinachojadiliwa Mkuu ni RAIS wa nchi mwenye Mamlaka kamili na siyo Kiongozi/Mwenyekiti wa Chama. Tusipokuwa na tabia ya kuheshimu Mamlaka, hata ndani ya Vyama vyetu tutaendeleza tabia hizo za kuwakujeli na kuwatukana Viongozi wetu tuliowachagua wenyewe.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba, mbegu hii ya chuki kejeli na matusi yalipandwa na Uvccm na kupaliliwa kuwekewa mbolea na Viongozi wao Kitaifa, kwa Wapinzani wao hasa nje ya chama Chao. Sasa mazao yamekomaa yanahitaji kuvunwa. CCM wanataka kuyakimbia mazao yao.
Tizama wanaodaiwa kumtukana Rais ni wale wale waliowafundisha wenyewe. Siyo walio nje ya CCM.
nimeandika na kufuta, sitaki kuchafua cv yangu kama mtumishi. Mungu ibariki Tanzania. Ila, heshimuni viongozi wenu maana Mungu anawatumia kutuongoza. na ninyi viongozi, mkikosea mnapokosolewa msikimbilie kusema mnatukanwa. mkiiba tutawaambia ninyi wezi, mkifanya uchafu tutawaambia ninyi wachafu, muache dhambi mrudieni Mungu. Ila hekima na busara hata za adabu ya kawaida tu ya kufunzwa na wazazi wako zitumike basi,
hata uvccm waache matusi...mbona wapinzani wametukanwa na Uvccm matusi makubwa zaidi?
Mbona inafungukaVideo imegoma kufunguka Ila nimesikitika sana