Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

Moja ya sera ya upinzani kuonyesha panapovuja ndani ya serikali ya CCM. Hapa upinzani umeonyesha serikali imejaa genge la wahuni, majizi, mafisadi, wachawi na watu wanaojali matumbo yao badala ya kushughulikia kero na shida za wananchi.

Huu ni ukombozi mkubwa wa kifikra badala ya wananchi kusubiri kugawiwa kofia na kanga.

Bila kuonyesha uozo uliopo serikalini na bila kuelimisha wananchi ukombozi hautapatika kwa amani!

Saa ya ukombozi ni sasa!
 
Unaonesha nini kipya wakati kila kitu kiko wazi na wao wanaumbuana hadharani?!
 
Wa

Sielewi kwa nini Lema kalivalia njuga hili suala. Licha ya hao, utendaji mbovu wa serikali ni Sawa na kujitukana yeye binafsi.
 
Nchi hii ni kubwa .
Yule haijui.
Kifupi nchi imemshinda.
Yule hii nchi ameiokota kwa bahati mbaya.
Hakuna mpinzani anayemtaka rais Makini . Furaha ya wapinzani ni kuona Rais dhaifu .
Lema apambane ili kuimarisha chama chale.
Vita ndio inanukia mahariki ya kati .
Matapeli waliopewa fursa na uchawa watauza Lita sh. Efu kumi
 
Mimi nadhan Chadema walitakiwa kukaa kimya waache ccm watifuane, wavurugane. Kwa namna wanavyoingilia sakata likiwa linaanza wanawaamsha CCM kuchukua tahadhari kwenye migogoro yao Kwan wapinzani wanaitumia kisiasa, Chadema wangeacha moto uwake kwanza
 
Mimi nadhan Chadema walitakiwa kukaa kimya waache ccm watifuane, wavurugane. Kwa namna wanavyoingilia sakata likiwa linaanza wanawaamsha CCM kuchukua tahadhari kwenye migogoro yao Kwan wapinzani wanaitumia kisiasa, Chadema wangeacha moto uwake kwanza
Lema leo nimeamini ni mkurupukaji, kwa nini hakumuachia Makonda awataje?kimemuwasha nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…